tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

    Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania imegeuka Giningi ya Bi Kilembwe

    Wataalamu wa fasihi najua sitakua mgeni kwenu mimi bawabu wa pili niliekuwa nasimama geti la ua wa ndani wa Bi kilembwe. Sasa hivi Tanzania kiongozi huruhusiwi kuziona changamoto za wananchi kama Bi. Kilembwe hajaziona, wananchi wanaweza wakawa wanakufa mbele yako lakini kama Bi. Kilembwe...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

    Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
  7. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Marekani hufanana na wa Tanzania

    Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika. Chunguza utanielewa!!
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Hivi nchi ya Tanzania haina uongozi?

    Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi? kila mtu ni kambale anafanya anachotaka! nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia, Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya...
  9. JamiiForums Tanzania Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania among Top 10 Nations sent Largest Delegations to COP30

    Wednesday, 19 Nov 2025 Tanzania has established itself as a major participant at the COP30 climate summit in Belém, Brazil, by sending one of the world's largest national delegations. According to provisional figures from the United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC)...
  12. JamiiForums Tanzania TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania walioko ughaibuni waandamana kutaka haki Tanzania

  16. JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

    Tanzania hatuhitaji symbolic envoy au mgeni wa kutuliza hali. Tunahitaji mtu mwenye meno, mwenye rekodi ya kushughulikia migogoro mikubwa, na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu mbele ya serikali yoyote. Chakwera ni kiongozi soft spoken, wa diplomasia ya kawaida, na hana uzito unaohitajika...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

    Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania. Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi. Ikumbukwe ya...
  19. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…