tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si sahihi Bunge la Ulaya kusitisha misaada nchi ya Tanzania, mapendekezo hayo yanafaa kupingwa kwa nguvu zote

    Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na elimu, wajawazito wanaohitaji huduma za afya ya uzazi, vijana wanaohitaji ufadhili wa elimu na...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Air Tanzania kuanzisha safari za Dar-Amsterdam/Hague kuanzia 2026

    Hii route punde itapata abiria wengi kuanzia business class na economy. Maombi ya vibali yapo mezani kwa vyombo huko EU.
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msanii Davido alisimamisha show yake hapo Jana kuiombea Tanzania kutokana na mauaji yaliyotokea

    "Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea. Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili waweze kupiga show tena. Kila Davido wanaumia na Tanzajia ila wasanii wa Tanzania wako busy na vibao...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee duniani note moja yenye sahihi 3 zinawezakutumika pamoja

    Nilienda bank leo kutoa pesa maana Mambo sio Mambo tunaweza kosa pesa za kutumia kwa sababu ya upumbavu wa wajinga Sasa nimekutana na note 3 zenye sahihi tofauti kwenye bank hii kupitia ATM nikajiuliza Hivi wanasiasa hii nchi wameharibu kiasi hiki inawezekanaje note moja inaweza kuwa na note...
  6. JamiiForums Tanzania REUTERS: Tanzania vote violated democratic values, AU observers say

    Reuters ni shilika kubwa la habari na hii habari ilichapishwa Novemba 5, 2025, walipoona mpaka CNN sababu mwanahabari ni mkenya bichwa bogwa msiga kalala mika. ------------ Tanzania's election did not comply with democratic standards, the African Union's observer mission said on Wednesday of...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Vituo vya Polisi 159 vilichomwa moto

    Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari ...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waraka wa Martin Maranja kwa serikali ya Tanzania

    Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka Hii dhana kwamba walioandamana walikuwa wageni inatoka wapi? Wageni gani ambao wamekamatwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Listi ya watu wanaokabia juu kwenye siasa za Tanzania

    Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Tutatumia jitihada, nguvu zote na gharama yoyote kulinda rasilimali za Tanzania

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile ili kulinda nchi na raslimali za Tanzania "Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia...
  12. JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  13. JamiiForums Tanzania ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi. Ikumbukwe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Isaac Njenga: Tanzania na Kenya ni ndugu yanayotokea kwa jirani yanatuhusu

    Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya wamepanga kuandamana tarehe 9/12 kuelekea ubalozi wa Tanzania Nairobi

    Wanasema wataandamana kuunga mkono maandamano ya jirani zao GenZ wa Tanzania waliopanga kuandamana siku hiyo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania World Council of Churches (WCC) concerned with Election-related violence in Tanzania

    Election-related violence in Tanzania has drawn concern from the World Council of Churches (WCC) executive committee, which released a minute expressing solidarity with churches and people of Tanzania, following violence and instability after recent disputed elections. “We are especially...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Yaliyopo kwenye ripoti ya CNN ni machache kati ya mengi yaliyotokea, na yote tunaweza kuyathibitisha

    Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂 NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  20. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…