tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Taji Liundi amesema bunge la Tanzania lina wabunge vilaza, hawafai?

  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  3. R

    JamiiForums Tanzania FUEL PRICES, RISING HARDSHIP, AND THE TIME FOR BOLD GOVERNMENT ACTION IN TANZANIA.

    Introduction Across Tanzania today, from the bustling trade hubs of Kariakoo to the quiet farming villages of the Southern Highlands a singular, sobering message echoes through homes and markets, the cost of survival is rising. The sharp increase in fuel prices this month is a historic shock...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  5. JamiiForums Tanzania IMF: Wakati Tanzania Inatarajia Kufikia GDP ya $ Bilioni 💯 ,DRC Kuipita Ethiopia na Kuwa Nchi ya 5 Kwa Uchumi Mkubwa Africa 2026.

    My Take SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania. https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania

    Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira
  7. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan Ship Impounded in Tanzania: Human Trafficking Claims

    The Kenya Maritime Authority has confirmed that the Kenyan-flagged fishing vessel M/V Sea Mfalme has been impounded in Tanzania over alleged human trafficking activities The vessel was seized on 30 March 2026 in Kilwa, Tanzania A diplomatic and maritime standoff is unfolding after MV Sea...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT, Dorothy Semu akabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho kumaliza muda wake. Kwa mujibu wa Katiba ya TCD, chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  12. JamiiForums Tanzania TANZANIA NBC Premier League : Mbio za Top Scorer

    Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
  13. JamiiForums Tanzania Bilionea Motsepe na ARC waondolewa kwenye kesi ya Tsh. Bilioni 505.7 ya Mradi wa Graphite wa Tanzania

    Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7) iliyofunguliwa na kampuni ya Marekani, Pula Group. Mahakama hiyo pia ilibainisha kuwa ARC haiwezi kubeba lawama...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli yenye Bendera ya Kenya yazuiliwa Tanzania, KMA yathibitisha uchunguzi unaendelea

    Mamlaka ya Usafiri wa Majini Kenya, Kenya Maritime Authority (KMA), imethibitisha kuwa meli yenye bendera ya Kenya imezuiliwa nchini Tanzania, huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha tukio hilo. Katika taarifa rasmi, KMA ilisema meli hiyo, inayojulikana kama M/V Sea Mfalme, inashikiliwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Watanzania tumeamua kujifanya hatuelewi Polepole na Tundu Lissu wapo walipo kwa sababu ya kutupigania sisi na Tanzania?

    Inasikitisha sana. Ona kwamba Pole Pole na Tundu Lissu, hadi leo, wanashikiliwa na Polisi kwa sababu ya kutupigania Watanzania na Tanzania kama nchi. Sasa kweli Watanzania tumeridhika na hali ya hawa watu wawili muhimu kuwekwa ndani na sie tukaona ni sawa tu, hatutaki kufanya lolote kuwapigania...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna maamuzi mengine ya majaji wa Tanzania hata kama wewe sio mwanasheria unaona wazi wanakosea - labda ni maagizo ya juu

    Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa kutumia common sense tu, wala sio elimu ya sheria. Sasa ifikie wakati mahakimu na majaji mjitambue...
  17. JamiiForums Tanzania Rasmi, Mashindano ya Miss Tanzania sasa kuendeshwa na Lamata Village Entertainment

    Mkurugenzi wa kampuni ya toka The Look Ltd Basila Mwanukuzi amekabidhi umiliki wa uandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kwa kampuni ya Lamata Village Entertainment inayomilikiwa mwongoza filamu nchini Leah Mwendamseke 'Lamata'. Aliyekuwa mmiliki wa Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi (kulia)...
  18. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  19. JamiiForums Tanzania Millya: Tanzania itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za kuanzishwa EAC

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, James Ole Millya amesema Tanzania ikiwa mwanachama mwaminifu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za mtangamano ili kufikia malengo ya kuanzishwa kwa jumuiya...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo juu kwa utajiri wa rasilimali kuliko UK according to chatgpt, Hivi hii kitu ni kweli?

    Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi? Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK). Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi? Tanzania ina: Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.) Ardhi kubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…