tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  2. JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Suluhu kwenye Umoja wa Mataifa yaleta matumaini mapya kwa diplomasia na diaspora ya Tanzania

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu wa Tanzania alifanya ziara nchini Marekani, ambako alikwenda kuhudhuria mkutano wa 76 wa baraza kuu la umoja wa mataifa nchini Marekani. Ziara hii ambayo ni ya kwanza kwa Rais wa Tanzania nje ya Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka sita, imepokelewa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Kesi ya Mbowe ya Kikatiba dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP. Wakati anakabiliwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania

    Fremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi? Nchi imekuwa ya kipuuzi sana mama ntilie wanashindwa kujiunga wakatengeneza taasisi inayolipa Kodi na wakafanya derivali ya chakula kwenye maofisi mida ya mchana? Mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene; Tanzania Hakuna shida ya katiba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi. "Shida ya katiba...
  9. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

    Moja kwa moja kwenye mada. Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani. Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani

    Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani ambapo amesema kwa sasa kiwango cha Biashara ni kidogo kulinganisha na fursa zilizopo Amesema angependa kuona Biashara inaongezeka kwani Tanzania ni mwanachama wa SADC na EAC ambazo zinatoa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo)

    SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs). Na Galila Wabanhu. Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya hayati Magufuli ya Julai 17, 2018, kwa vyama vya siasa vya nchi mbalimbali za Afrika

    HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA NA VYAMA VYA SIASA VYA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HOTELI YA SERENA, DAR...
  13. JamiiForums Tanzania UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

    Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika. Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kodi na matumizi ya kodi?

    WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:- (i)...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Peak secures mining licence for Ngualla rare earth project in Tanzania

    Peak Resources has secured a special mining licence (SML) from the Tanzanian government for its AUD200m ($147.4m) Ngualla rare earth project located in the southern part of the East African country. The Australia-based company’s fully-owned subsidiary PR NG Minerals was given approval by the...
  17. JamiiForums Tanzania Whither Tanzania? The country we need and the one we happen to have

    Whither Tanzania? The country we need and the one we happen to have TUESDAY SEPTEMBER 21 2021 Minister for Information, Communications and Information Technology, Dr Ashatu Kijaji. PHOTO | FILE By Kasera Nick Oyoo More by this Author There are two “Tanzanias”, so to speak: the one we...
  18. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania mnaliona hili?

    Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

    Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!" Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini. Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania? Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru! A fool and his money are soon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…