tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Risk Officer and Credit Analyst Officer Jobs at First Housing Finance Tanzania – February 2026 (2 Positions)

    Company Overview First Housing Finance (Tanzania) Limited is the leading housing finance company in Tanzania. We are dedicated to offering long-term housing finance solutions to Tanzanian citizens. As a pioneer in the Tanzanian housing finance market, we provide a diverse portfolio of mortgage...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali ya oral interview Tanzania Commercial Bank,nafasi ni Relationship officer ii.

    Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
  3. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo alivyotumia Trump kutaka kununua kisiwa cha Island atumie pia kuinunua Tanzania ili tupumue

    Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi 1. Kodi ya aridhi 2. Kodi ya majengo 3. Lesen 4.kodi kwenye luku 5. Kodi ya miamala ya fedha 6.kodi ya mizani 7.kodi ya ya mafremu 8.kodi ya maegesho 10.kodi ya biashara 11.kodi kibali cha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania janga waenda Russia !!!

    https://www.youtube.com/watch?v=tx3B0RfO9-U wenzetu https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=8faEViuKjxL8ndY2 Kenya wamepata $1.6B kwenye mkutano mmoja wakati biashara ya Tanzania na Urusi ni $400M tu kwa mwaka. Akili za wajinga wajinga ndiyo wanatuongoza
  6. JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

    Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani. Uongozi butu!. Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

    Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
  8. JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    "You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe. Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

    Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini. Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026 Tarehe: Februari...
  11. JamiiForums Tanzania Je hii ni ndio top ten bora ya rap ya Tanzania?

    1: dar es salaam stand up - chiddy 2: Zari la mentali - proj j 3: Mtazamo - afande sele 4: Mitungi/mikasi - ngwair 5: Bongo dar es salaam - prof j 6: Geto langu - ngwair 7: Habari ndio hio - ay/mwana fa 8: Hawatuwezi - nako 2 nako 9: mchizi wangu remix - nako 2 nako, chiddy, mwana fa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 400kV toka Uganda -Tanzania, mchakato umeiva na umeanza, kugharibu dola milioni 250 za kimarekani

    09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  17. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfg

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

    Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…