tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

    SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  3. JamiiForums Tanzania Mtanzania unaijua pensheni ya Rais anapostaafu?

    Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania. Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
  5. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo. Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Uteuzi zieleze sababu zinapowatumbua wateule

    Tunawaombeni jitahidini sana pale mkiwa Mnawatumbua Wateule Wenu basi muwe pia mnatueleza na sababu Kuu za Kutumbuliwa Kwao kwani hii itasaidia mno katika dhana nzuri ya Transparency and Accountability na hata kuwa ni Funzo kwa wale Wateuliwa wapya.
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Kutozingatia utaalamu, chanzo ukosefu wa ajira kwa wasomi Tanzania

    Na Dibwi Tafiti mbalimbali duniani, zimeonyesha Bara la Afrika na Asia kuongoza kwa kuwa na utitiri wa Mashirika na Taasisi nyingi hasa zile za Umma, kutozingatia suala la kuajiri watendaji walio na elimu, utaalamu na uzoefu mahususi kwenye nafasi husika kwenye maeneo ya kazi. Hali hii...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme (Samico Tanzania) aomba pambano na Mandonga, ashusha bei za ufundi kwa wateja wa Jamii Forums tu

    Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA. OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)! Ofa hii...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Taifa huru gizani

    TAIFA HURU GIZANI (TANZANIA) Chanzo cha picha: Vectorstock. Taifa ni jumla ya watu wanaojitambulisha na eneo, lugha, rangi na mila, kwa ujumla ni nchi. Neno taifa linatokana na Kilatini natutio likimaanisha kuzaliwa, watu (kwa maana ya kikabila), spishi au darasa. Taifa lina sifa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  13. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia rahisi ya kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji Tanzania

    Leo Tena kwenye story of change naleta njia rahisi Kabisa kwa mazingira yetu ya kitanzania Kuboresha mazingira mazuri ya kujifunza na kufundisha kwa walimu na wanafunzi Tanzania. Kwa asilimia kubwa humu kama sio wote tumepitia katika elimu ya Msingi na sekondari hapa Tanzania, na bahati nzuri...
  15. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

    Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson" Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga, kuchunga na kupika kutokana na umri wao. Elimu baada ya mkoloni ilikua pia kutokana na umri lakini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania kuwa kama Singapore inawezekana endapo itafanya haya...

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...! Ni kawaida kusikia Tanzania kufananishwa na nchi mbalimbali barani Afrika hasa katika nyaja za kiuchumi, kisiasa, kijamii na utamaduni. Na tumeziona nchi za Magharibi kama mfano katika nyanja hizo na muda mwingine imekuwa ngumu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kushiriki kombe la dunia la mchezo wa kabaddi

    Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu Kuzimu iko/ndiyo Tanzania. Maana maovu yanapendwa kuliko mema

    Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii. 1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania kimyaaa!!! Sri Lanka na Sudan wameweza 2. Mwgulu amewahi kutoa kejeli kwa watanzania kuwa asiyetaka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Where is the Consulate for Czech republic in Tanzania

    Tried to send an e mail but it was not delivered. Used the telephone number from website yet it was not picked. Yesterday, using google map traced the location to Kinondoni road yet not able to find it. Where is the Czech consulate in Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…