tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio Nguzo ya Kiimani Tanzania

    Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure. Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni janja janja but Catholic Church means a lot to our country Kanisa katoliki linasimamia haki bila...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  4. JamiiForums Tanzania Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania tunatatizo la kujidanganya-Tuko fake?

    Sasa tujiulize Raisi mwenyewe kapatikana kwa kudanganya hata kura hazikuhesabiwa kabisa! Lakini kuna watu tena wengi tu wanajidanganya pamoja na kujua ukweli kwamba tulikuwa na chaguzi. Kila mtu anajua kesi ya Lissu ni fake lakini bado kuanzia mahakama mpaka watu fulani wana fake kama vile ni...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wakimbizi 4,200 kutoka Burundi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao kwa hiyari

    Maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao chini ya mpango wa hiyari. Wengi wanasema wanasubiri kukutana na wapendwa wao nchini Burundi na baadhi wamelalamika maisha yalikuwa magumu nchini Tanzania. Pia soma: ~ Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajia kuanza kutumia kinga ya HIV

    ‎Katika kipindi ambacho mapambano dhidi ya maambukizi ya UKIMWI yamekuwa yakitegemea nidhamu ya matumizi ya kila siku ya dawa za (PrEP), au wengi wanavyo ziita kama ARV, ‎Sasa Tanzania inaanza kuingia katika hatua mpya ya kinga ya muda mrefu kwa kuanza matumizi ya Lenacapavir, dawa inayodungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Bungea La Tanzania kuandaa mkutano IPU 153

    SPIKA wa Bunge Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong, leo Februari 27, 2026, wamesaini mkataba unaowezesha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026 jijini Arusha. Spika Zungu...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuuza magari na kununua hapa used Tanzania na Used Japan

    Habari wakuu nitakuwa napost magari katika huu uzi ukipenda Gari nichek direct kwenye simu au meseji WhatsApp. Kama unauza Gari yako nichek direct. 📱0754693556
  13. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa ‘Kufukuzwa’ Tanzania

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa. Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
  14. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yachelewesha safari yake nyingine leo Alhamisi

    Juzi ilikiwa hivyo na leo tena imetokea. ATCL inabidi wabadilike bhana
  15. JamiiForums Tanzania Polish Embassy in Tanzania marked the 4th anniversary of Russia–Ukraine War, urges President Putin to end the conflict

    The Polish Embassy in Tanzania met with various stakeholders to screen a film depicting events that have had significant societal impacts as a result of the ongoing war between Russia and Ukraine, which has now marked four years. Speaking before the screening of the film titled “The People”...
  16. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  17. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  18. JamiiForums Tanzania Uchumi wa ‘Machinga’ na Mama Lishe: Muhimili Usioonekana wa Maendeleo ya Tanzania

    Unapokatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mwanjelwa jijini Mbeya, au soko la Nyakato jijini Mwanza, zile sauti za wafanyabiashara wadogo na harufu ya vyakula vya mama lishe zinazotawalaga kwa mbali, unaweza kudhani ni shughuli za kawaida za kujitafutia riziki, lakini ripoti mpya kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Air Tanzania Mwanza online check in haitambuliki

    Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    Habari Tanzania ! Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu. Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo; 1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…