tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mikopo ya trilioni 12 kwenye bajeti ya 2022/23, Tanzania itakuwa imefilisika kufikia 2027

    Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4 Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote. Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

    Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake? Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa! Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?! Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Wanasayansi wa asili Tanzania

    Tujikumbushe Wanasayansi wa Asili Dr Mandondo (Tanga), Dr Mwakipande(Makete), Dr Chapotela( Mwanza) na Prof Bulaya & Sheikh Yahya( Dsm) Waafrika tuna Sayansi zetu ambazo zimesaidia na kutoa mwongozo kwa maisha ya Wanasiasa wakubwa na Wafanyabiashara maarufu Huwezi kutenganisha utajiri wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?

    Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo. Mfano:- (a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

    Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita. Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Tanzania ni wakosa subira wakubwa.

    Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga. Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa wanachowazidi Mashabiki wa sehemu nyingine Duniani ni namna hata wanavyoshabikia hizi timu zao. Leo hii...
  8. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Uganda!

    Museveni anatawala UG tangia 1986, ameweza hilo ingawaje anatoka kundi dogo ambalo ni minority Uganda, sababu kubwa ni kwamba ana Jeshi, anamiliki Jeshi kama ukipenda na ndio maana anaongoza majority hata kama hawamkubali hakuna kitu watafanya sababu hawana Jeshi, uchaguzi ni zoezi tu lkn...
  11. JamiiForums Tanzania Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!

    Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
  12. JamiiForums Tanzania R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

    Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe 1. Dilemma-Nelly ft Kelly 2.Make it rain-fat joe 3.In da club-50cent 4.Ineed a girl -p diddy...
  13. JamiiForums Tanzania Wasichana watatu kati ya 10 wanaathirika na ndoa za utotoni Tanzania

    Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni. Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
  14. JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Unapo zungumzia gesi ni tofauti sana na mafuta katika swala zima la uhifadhi na usafirishaji. Ili kuweza kuisafirisha gesi nje ya nchi unahitaji miundo mbinu ya kuweza kuibadilisha kuwa kimiminika. Ikiwa katika hali ya kimiminika ndipo unaweza kuipakia kwenye meli ikiwa kwenye mitungi maalumu...
  15. JamiiForums Tanzania Shoppers Trading Ltd yadaiwa wameamua kufunga biashara Tanzania

    Wanadai sababu ni kukosa fedha za kujiendesha
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kulipa Tsh. Milioni 4.8 kwenda China na Air Tanzania

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100. Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…