tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  2. JamiiForums Tanzania Plastic Waste Pickers: The Shunned and Scorned Environmental Warriors of Tanzania

    By Mweha Msemo | June 23, 2022 Dar es Salaam. Plastic waste is a common sight on many streets of Dar es Salaam. Recklessly disposed of from homes and stores or thrown out of the windows of daladalas and private vehicles – it adds to the unsightliness of this already heavily polluted economic...
  3. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

    Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za magoli. Na kwa uwezo mkubwa na kipaji cha mwenye timu yake Clatous Chama, nina uhakika zote angefunga...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara binafsi au ubia (procedures for establishing a sole trade & partnership business) in Tanzania

    Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k. Kwenye hili andiko nitaongelea mchakato wa kusajili biashara binafsi na biashara ya ubia...
  5. JamiiForums Tanzania Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

    Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali? Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania nzima hofu imetawala Simba SC, mtaani hawaonekani

    Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga. Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani, Yanga tu ndiyo wanaonekana. Hawana wasiwasi kabisa na mechi ya leo. Tanzania nzima naambiwa hali ni...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kupe wanachangia 65% ya vifo vya ng’ombe Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo). Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
  10. JamiiForums Tanzania Mfamasia Mkuu: Tanzania ina 59.8% ya Wagonjwa wasiyotibika kutokana na Usugu wa Dawa

    Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daud Msasi ametaja sababu kuwa ni matumizi yasiyosahihi ya dawa ikiwemo kutomaliza dozi na kushirikiana dawa kwa wagonjwa bila maelekezo ya wataalamu. Amesema matumizi holela ya dawa nchini yameongeza idadi ya vifo, ugumba na magonjwa ya figo huku homa za matumbo na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Mzaliwa wa kwanza ndio wanafaa kuongoza nchi. Je, Tanzania tunazingatia hilo?

    Salama wandugu. Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia, Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi. N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
  13. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga, kwa sasa kuna mgao wa Umeme?

    Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima. Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme? Nimeuliza ili tuanze kununua generator
  15. JamiiForums Tanzania Watoto 5716 wamelawitiwa nchini Kwenye kipindi cha Mwaka 2016 hadi 2021

    Tatizo la kulawitiwa kwa watoto linalizidi kushika kasi nchini huku idadi ya visa vilivyoripotiwa kwenye kipindi cha mwaka 2016-21 vikiwa ni 5716 huku 87% ya visa hivi vikihusisha watoto wa kiume. Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo- Mwaka 2016, wasichana walikuwa 50 na wavulana...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za 'upopo' zinaiua sana Tanzania kiuchumi na kijamii

    Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari. Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM. Kuna watu ni wasomi lakini matendo yao ni kama hawajasoma kabisa. (Kabudi style) Kuna watu wanasajili Kampuni...
  17. JamiiForums Tanzania Hatua za kusajili kampuni ya kigeni (procedures for the registration of a foreign company in Tanzania)

    Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania. Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate, zakariamaseke@gmail.com (0754575246 WhatsApp). Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni habari njema, sasa tunaongea kuhusu elimu nchini

    Next.... (1) Futa kidato cha Tano na Sita. Vyuo Vikuu vyote viwe na mwaka mmoja wa kufundisha Foundation courses mbili (i) Foundation course for Natural Sciences na (ii) Foundation course for Social sciences. . Tupunguze kabisa muda wa kukaa shuleni kabla haja fuzu fani fulani. Imagine Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la kujiuzulu Tanzania

    Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo dhidi ya mhusika kutakiwa kujiuzulu linakuwa ni jambo zito mno haswa kwa viongozi wa sirikale. Mfano...
  20. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…