tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  2. JamiiForums Tanzania Kusini mwa Tanzania watakiwa wawekezaji

    Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  4. JamiiForums Tanzania TANZANIA: How serial pension fund plunderers avoided Magufuli’s anti-corruption drive

    NOTE: This article was written in 2017 After more than a year in power, Tanzanian President John Magufuli had not managed to address corruption in the power sector, and corrupt pension funds, including the National Social Security Fund (NSSF) also successfully escaped his dragnet. Pension...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa bilioni 310 EXIM kutanua mfumo wa NIDA

    Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Tsh. Bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi. Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo baina ya...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga ikifikia hapo, Tanzania tutakuwa masupastaa

    Simba hoyeeee, Yanga ni makopo. Kama kawaida.
  7. JamiiForums Tanzania Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

    Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako, ukitaka kuwa na chama chenye ushawishi mkubwa na chenye uwezo wa kukamata dola ni lazima viongozi na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya Tanzania na China yanaimarishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Hii ni kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping. Taarifa hiyo imetolewa leo na Wizara ya Mambo ya Nje China. Tanzania na China...
  9. JamiiForums Tanzania My Tanzania Tour in 5 regions.

    Recently I made a tour in 6 regions in Tanzania. These are my conclusions: 1: Geita town council has the potential to be a municipal. 2: Mwanza is the second largest city in Tanzania so far. 3: Iringa Municipal has all the credentials to be a city. I was impressed by that town. 4:DDdoma is...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law school ya Tanzania mnayo ya kujifunza Kenya

    Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu. Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali. Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani. Ikumbukwe tofauti...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kwa Tanzania baada ya miaka 3 (2019 mpaka 2022)

    Nimekuja Tanzania kwa likizo baada ya miaka 3 na mpaka sasa nipo hapa na haya ndiyo maono yangu tangu 2019 mpaka leo Sehemu ambazo zina mabadiliko mazuri 1. Ujenzi kwa ujimla umeongeka hasa airport terminal ya Dar ambayo imepunguza usumbufu sana 2. Urafiki kwa wageni umeongezeka airport sana...
  12. JamiiForums Tanzania Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna nini Tanzania mbona kila kitu sasa ni mgao?

    Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao? Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika! Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?
  14. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Miji ya Tanzania kunuka uchafu nini tatizo?

    Habari ndugu wadau. Hivi watanzania nini tatizo.? Miji yote ukitoa Arusha na Moshi ni michafu kupindukia, watu wanakojoa na kunya ovyo. Plastic zipo kila mahali mitaro imejaa inanuka vinyesi.Hii nchi ya namna gani? Watumishi wa Serikali wapo wanakula mshahara hakuna kinachoeleweka nani...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

    Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960. Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  20. JamiiForums Tanzania Plastic Waste Pickers: The Shunned and Scorned Environmental Warriors of Tanzania

    By Mweha Msemo | June 23, 2022 Dar es Salaam. Plastic waste is a common sight on many streets of Dar es Salaam. Recklessly disposed of from homes and stores or thrown out of the windows of daladalas and private vehicles – it adds to the unsightliness of this already heavily polluted economic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…