tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa 11 Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
  2. JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Ngumi Tanzania ni wa kimchongo

    Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Raia wa Colombia aachiwa huru baada ya kukaa gerezani kwa kesi ya dawa za kulevya kwa miaka nane Tanzania

    Bogotá Colombia 13 OCT 2022 Dar es Salaam 13 Oct 2022 Raia wa Colombia hatimaye ataachiwa baada ya plea bargain US$ 25,000 baada ya kusota katika gereza jijini Dar es Salaam kwa miaka nane tangu mwezi Julai mwaka 2014 hadi mwezi October 2022. Ndugu na jamaa zake waliendesha kampeni kubwa juu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mgeni akifika Tanzania Bara haruhusiwi kulipia Visa kwa kutumia Credit card?

    Hivi kuna anayejua kwa nini mgeni akifika TANGANYIKA haruhusiwi kulipa Visa kwa kutumia Credit card ni hadi awe na hela Cash? Hii hulazimu wageni wasio na Visa wajazane kiwanjani wakipanga foleni kwenye ATM kupata hela cash kwa ajili ya kulipia Visa. Nimeandika TANGANYIKA kwa kuwa, kwa upande...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

    Hawa Swala wakubwa kama Ng'ombe Kudu na Sable Antelopes wanapatikana kwenye mbuga zetu? Mimi nawaonaga tu wanapatikana Zambia, Namibia, Botswana n Sauz huko.
  7. JamiiForums Tanzania Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Taja sekta ama nyanja ambazo taifa la Tanzania limefanikiwa sana

    Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali. Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote. Nachotaka kusema hakuna jambo jema ktk sekta yoyote linaloongelewa na watanzania kuhusu taifa lao...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  11. JamiiForums Tanzania Madai, kesi, na hukumu ya kuruhusu wafungwa kupinga kura ni kielelezo kingine cha maono mafupi ya wanasheria na mawakili wa Tanzania

    Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa. Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

    Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama, 1. Uwanja wa sokoine mbeya 2. Sokoine University of agriculture 3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam 4. Sokoine secondary 5. Sokoine regional refferal hospital lindi 6. kituo cha afya sokoine...
  13. JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Tanzania sasa ruksa kupiga kura

    Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c) cha Sheria ya Taifa Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Mkopo wa Shilingi Trilioni oni 1.8 kwa Tanzania kwa ajili ya Sekta ya Afya na kuimarisha Uchumi

    Habari wadau. Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania.. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na WB na kinukiliwa na gazeti la daily news,mkopo huo Ni kwa ajili ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandika historia siku ya leo kwenye bwawa la umeme la Nyerere

    Leo December 22 Rais Samia Suluhu atazindua hatua ya kwanza ya kuanza ujazaji maji katika bwawa la Nyerere (JNHPP) Ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 78.68. Tanzania tunaandika historia ya kuwa na bwawa kubwa zaidi lenye uwezo wa kujaza maji lita Bilioni 32 na bwawa hili ni kubwa kuliko...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania's diplomatic priorities

    Let me say my jaw hit the floor when I learnt that president SS Hassan did not attend the just-ended US-Africa summit in Washington, choosing instead to stay at home; effectively giving it a two-fingers up. The vapid schmucks at the Foreign Affairs Ministry have done it again! They failed to...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa kwaajili ya maendeleo ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
  18. JamiiForums Tanzania Ushirikina, Tiba Mbadala zinavyogharimu maisha ya watu Tanzania

    Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu. Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu. Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mbele ya Jaji Dk. Yose Mlyambina kwenye Masijala Ndogo ya Songea. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Seif Chombo, Abdallah Chombo, Mohamed Kamala, Athumani Chombo, Omary Mbonani na Rashidi Ally...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi wa habari Tanzania hawaongelei rushwa?

    Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi. Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku Nashauri wana habari tengeni muda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…