tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania False Alarm: EU Parliament Resolution Against Tanzania is Hoax

    Please disregard this misinformation. The European Parliament is not conducting the debate being falsely portrayed by some online activists. This video dates back to November 26, 2025, and no such resolutions have been issued against Tanzania. The Government continues to urge Tanzanians to...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde sheria kwa makampuni ya ulinzi Tanzania

    Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika. Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania The future is here: Tanzania to supply minerals for superalloys for jet engines and aerospace components

    By Africa J&L Correspondence, Washington, DC There are defining moments when a nation stops merely supplying raw materials to the world and begins shaping the industries that power it. Tanzania is living such a moment. With the landmark agreement signed on 24 March 2026 to advance the Panda...
  4. JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip hop ninao wakubali, nje ya mipaka ya Tanzania

    1. Sarkodie from Ghana. 2. Nyashisnki from kenya. 3. Khaligraph jones from Kenya. Hapo ni wa kwanza mpaka wa mwisho. Nimesikiliza marapper wengi, ila ni hao tu ninao wakubali. Hakuna mwingine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania kamwe hatafikiria kama Samia na Machawa wake

    https://youtu.be/sZv8yMHKNII?si=MjFJqevJHzHcN9bi warioba kasema yote
  6. K

    JamiiForums Tanzania Madili na rushwa zamchosha Dangote Tanzania!

    Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni...
  7. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

    Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina: 🇹🇿LNG project, 🇹🇿EACOP 🇹🇿Bandari za kimkakati 🇹🇿SGR 🇹🇿matenki ya mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Nina matatizo kuhusu board ya ununuzi Tanzania wa Umma PSPTB

    Mimi nina tatizo kwenye Board ya Ununuzi wa umma Tanzania PSPTB kwenye Mfumo wa kujisajili na hii Board Ina category mbalimbali Ukiwa unajisajili ukikosea kuchagua category Yako husika kwa mfano wewe ni Bachelor ukakosea ukajiunga na Technician then ukatumiwa control number ya kulipia Ada ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Why is Dangote leaning more towards Mombasa over Tanga? What does this mean for Tanzania?

    Africa's wealthiest industrialist now says he prefers Kenya's coast for his $17 billion oil refinery. President Samia Suluhu Hassan, by her own account, was not consulted before the project was first announced for Tanga. Aliko Dangote — the Nigerian cement-and-sugar tycoon, now widely regarded...
  15. JamiiForums Tanzania Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

    Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda. Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  17. JamiiForums Tanzania Waislamu na fikra finyu za kuifanya Tanzania kuwa dola ya Kiislamu

    Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa wakijadili kwa kujigamba kuwa mkakati wao unaelekea kukamilika. Mkakati wenyewe ni kuhakikisha 51% ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Tanzania imekuwa kama dump ya bidhaa feki almost kila kitu sasa hivi ni feki

    Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya unauziwa feki kwa bei ya og kama unajipenda nenda kwenye mahospitali ghali alteast kuna dawa kule...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

    Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli. Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Waazimia Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…