tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  3. JamiiForums Tanzania Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 THE TANZANIA WE WANT: Amina Success Story during Education Summit 2024

    “It was the morning” Once upon a time in the vibrant and diverse landscape of Tanzania, there existed a young woman named Amina. Amina hailed from Katunguru a remote village found in Kibondo District in Kigoma Region where educational opportunities were scarce, and dreams often succumbed to the...
  5. JamiiForums Tanzania Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  6. JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama Biashara 1. Dar es Salaam Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote. Kwenye Biashara ina points 9...
  7. JamiiForums Tanzania Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kujenga Tanzania mpya ambayo sio ndoto za wanasiasa walio wengi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo. Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa ujenzi wa Taifa nikiangalia mitazamo ya vijana, wanasiasa na wananchi kwa jumla. 1. Elimu: Elimu ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania itumie takwimu za mifugo kudhibiti mafuriko

    Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara zimepoteza mamia ya watu, makazi, mifugo na miundombinu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Bunge Mbadala kwa ukomavu wa kidemokrasia nchini

    Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15 na 25

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto nyingi za miundombinu, ikiwa ni pamoja na barabara mbovu, madaraja mabovu, na ukosefu wa usafiri wa kuaminika. Changamoto hizi zimekuwa zikichangia maafa na vifo, haswa wakati wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ina kila kitu cha kuifanya kuwa uchumi mkubwa, hatua madhubuti zichukuliwe

    TANZANIA TUITAKAYO. Being a citizen of the country like Tanzania is a blessing and it is a something that I am always proud of, for the fact that it is a beautiful place that everybody wishes to stay not only because of its peacefulness but also the way it has been endowed with various...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania, teknolojia ya habari, vijiji na miji kuimarika

    Tanzania tuitakayo. Miaka kadhaa sasa Tanzania inatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu kwa wanafunzi lakini pia kukabiliana na ubunifu wa watoto ili miaka ijayo tusiwakose wabunifu wetu wenyewe kutokana na kutowafanyia bidii mapema. Na hii ikikamilika Tanzania itakadiriwa kuwa na watu mahiri...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhakika na Usalama wa Chakula nchini Tanzania

    Utangulizi Nazi, Pilipili, Karafuu, Iliki, Uji Lishe, Maziwa, Kisamvu, Mihogo, Mahindi, Mchele, Samaki Wakubwa, Visamaki Vidogo (dagaa na uono), Asali, Sukari, Kuku wa Asili, Nyama ya Ng'ombe Mbuzi na Kondoo, Mayai, Matembele, Mchicha, Machungwa, Mananasi, Maboga, Mboga ya Maboga, Maembe...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna siri ipi iliyojificha kuwa mgombea Urais kupitia vyama vya upinzani Tanzania?

    Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja. Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

    Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mandhari nzuri, muonekano safi na utunzaji wa mazingira

    Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo. Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…