tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania itasimama ni jukumu la kila mmoja wetu kuisimamisha Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo by Yasam Legend

    Ni mengi yapo katika jamii yetu( nchi yetu) ambayo ni nyenzo kubwa katika maendeleo ya nchi yetu na jamii kwa ujumla. Kuna vipengele mbali mbali kama uchumi, sayansi na teknolojia, siasa, afya na mengi neyo mengi. Kwa upande wangu nitaelezea baadhi kulingana na upeo wangu na maono yangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Data center za tanzania zinatumia njia gani kujikinga na cyber attacks kwenye network infrastructure zake?

    Habari wadau Nipo kwenye harakati za kujiandaa kufanya utafiti juu ya matumizi ya Next Gen Firewall hapa Tz na case study yangu itafocus kwenye data center Hivyo ningependa pata first hand experience toka kwa wadau wenye access na knowledge za data canter infrastructure hapa bongo
  5. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo; Maono ya baadae

    Habari ya Tanzania Tuitakayo - Maono ya Baadaye Fikiria Tanzania miaka 25 ijayo, ambapo ndoto na matarajio ya wananchi wake yamefikia ukamilifu. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka, taifa lililotibuka kwa njia ya suluhisho bunifu na vitendo vya pamoja. Katika eneo la elimu, tunatarajia siku zijazo...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo; Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nguvu kazi kubwa. Kwa maono ya kibunifu na mipango endelevu, tunaweza kuibadili Tanzania kuwa nchi yenye maendeleo makubwa ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo. Maono haya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madeni: Tanzania tuko salama, Kenya iko Kwenye hatari ya kushindwa kulipa Senegal, Nigeria na Malawi zinaheshimika!

    Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  9. JamiiForums Tanzania Mauzo ya nyama nje ya nchi yaweka rekodi kwa kuongezeka kwa 41%, soko kuu la ni Nchi za Kiarabu

    Watanzania mnaitwa huku na dini zenu mje kupinga tena safari za mama huko Uarabuni. Masoko ya Nyama yafunguka hasa mbuzi.👇👇 ========== Arab countries constitute a significant portion of foreign markets driving growth in Tanzania’s meat industry, with exports surging by 41.1% to $86.31...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maoni ya kuboresha na kukuza elimu Tanzania

    MAONI KATIKA KUBORESHA NA KUKUZA ELIMU TANZANIA (Nini kifanyike ili kuboresha na kukuza Elimu yetu ya Tanzania ?) Naitwa Batson R. Msigwa kutoka Njombe-Tanzania. Mimi ni mhitimu Kutoka Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam, niliyesomea Ualimu katika tawi la Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa-Iringa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Rushwa na Ubadhirifu

    Mapendekezo ya Mabadiliko Katika Kudhibiti Rushwa na Ubadhirifu Nchini Tanzania Katika Miaka 25 Ijayo Rushwa na ubadhirifu ni changamoto kubwa zinazokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu kuchukua hatua madhubuti na za...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo haya yafanyike

    1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi. 2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu Bora: Kuwekeza Katika Kizazi cha Baadaye cha Tanzania

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio. Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
  14. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutumia AirTM na kufanikisha ku-withdraw hapa Tanzania? Ulitumia njia gani?

    Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya simu. Lakini changamoto ni kwamba withdraw requests zangu zote zinafail kutokana na kuchukua muda mref...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania katika miaka 25 ijayo, maono yangu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1. Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2. Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo matatu yatakayoibadili Tanzania na kupata ndani ya miaka 10 Tanzania niitakayo

    MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO. Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri duniani. Miongoni mwa mambo matatu ambayo tunapaswa kuyazingatia ili kupata maendeleo ni, Moja kuwekeza...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika uchumi wa bluu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…