tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Maudhui Yanayolenga Kuibua Fikra Tunduizi au Mawazo Mbadala Kuelekea Miaka 5 Hadi 25

    Utangulizi "Tanzania Tuitakayo" ni kauli mbiu inayolenga kuleta mabadiliko chanya kupitia mijadala na fikra bunifu kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu. Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, tunahitaji kuwa na dira na mikakati madhubuti itakayowezesha Tanzania kuwa taifa lenye maendeleo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho Sekta ya Elimu Tanzania kwa miaka kumi na tano (15) ijayo

    Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Want: Educating Gen Z about Spelling and Reading

    In today's digital age, where communication happens at lightning speed through texts, tweets, and posts, the importance of spelling and reading often gets overshadowed. For Generation Z, born into a world of smartphones and social media, understanding the significance of accurate spelling and...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Youth unemployment in Tanzania

    YOUTH UNEMPLOYMENT IN TANZANIA Youth unemployment in Tanzania was 19% in 2019 the high level of unemployment has been a persistent problem facing the country within the youth group the national population across the country continues to experience high growth rates implying that high increasing...
  6. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Kuboresha Huduma za Afya kwa kutumia Vitengo vya Afya Vinavyotembea (Mobile Health Units)

    Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
  7. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Surface rainwater harvesting in semi-arid areas in Tanzania

    Rainwater harvesting has been practiced for centuries for different usage like house hold, irrigation and cattle. At semi arid areas shortage of water during dry season is a recurring problem. This challenge is made worse due to climate change which causes the change of weather patterns which...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 The Digital Doctor is In: How Telemedicine is Transforming Mental Healthcare Access in Tanzania

    The Digital Doctor is In: How Telemedicine is Transforming Mental Healthcare Access in Tanzania Introduction In the heart of rural Tanzania, Amina, a young mother of three, grapples with the suffocating weight of anxiety. The nearest mental health clinic is a grueling six-hour journey away, a...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi bora kwa kila jambo

    Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

    Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena. Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025. Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa. Mtachaguwa 5 tena au...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  13. JamiiForums Tanzania Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

    Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania REEVALUATING VAT PAYMENT POLICIES FOR SERVICE PROVIDERS IN TANZANIA

    Introduction In his recent budget presentation, the Minister for Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, emphasized the crucial role of withholding tax compliance by taxpayers. This underscores the importance of ensuring that all taxpayers adhere strictly to tax regulations. With the Parliamentary budget...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Collabo za Kimataifa za Diamond Platnumz zilizopeperusha bendera ya Tanzania

    Ni suala lililo wazi kuwa msanii Diamond Platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha muziki wa Bongo Fleva kimataifa ambapo kupitia nyimbo zake Diamond ameweza kupenya na kujulikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo Nigeria, Kenya, Ghana, Uganda na mataifa mengine mengi. Kushinda tuzo kama MTV EMA za...
  16. JamiiForums Tanzania Tunasafirisha mizigo mara mbili Kwa wiki kutoka China kuja Tanzania

    Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫. Wiki hii Kuna ndege🛫 itaondoka China 🇨🇳kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi ya tarehe 02 August . Tafadhali mpatie...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo

    Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo MAENDELEO ya Taifa lolote lile duniani hutegemea sana mipango murua, nguvu kazi ya kutosha, uchumi usio wa mashaka na nyenzo madhubuti zinazowezesha ufanikishaji wa malengo ya kimkakati. Tanzania ni miongoni mwa mataifa katika Bara la Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania 2040: Innovating at the Intersection of Technology and Society

    Tanzania 2040: Innovating at the Intersection of Technology and Society Can a nation leapfrog decades of development by harnessing the power of technology? Tanzania is determined to prove that it can. In the heart of East Africa, this ambitious country stands at the cusp of a technological...
  20. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Tanzania ya Ndoto ya Mtanzania

    Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…