tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho. Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  3. JamiiForums Tanzania Prius/Aqua Forum Tanzania

    Wananzengo za asubuhi. Wale tunaomiliki Prius/ Aqua tujuane. Tuambiane na kusaidiana changamoto za mazuri kwenye gari zetu kwa wanaomiliki na kuwapa hamasa ambao bado hawajamiliki wakaribie wafurahie 20km/l Tutafungua telegram chanel yetu kwa watakao kuwa interested waje inbox ni wa add
  4. JamiiForums Tanzania Comoro na Tanzania ushirikiano ni imara

    Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Badaoui ambaye pia ni Amidi wa Mabalozi nchini Tanzania alitumia fursa hiyo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania “I am the state”- book launched in tanzania exposing state house corruption, abuse of power- another in the making

    Waandishi wajiandae kuandika kitabu kipya kingine " I am The State part II" “I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, mmekuwa ni kikwazo kikubwa cha ujio wa Starlink

    Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu Kampuni ya simu ya Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  8. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

    Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa. Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa. Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi

    Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:- 1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na Sekta Zinazotegemea Uagizaji wa Bidhaa kutoka Nje Kutegemea Uagizaji: Mabilionea katika nchi kama...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kifahari ya Uarabuni (UAE) Yahusishwa na Uwindaji Haramu Tanzania

    Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Watoa taarifa hawa ni kutoka kampuni ya Ortello – wakati mwingine...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tusaidieni kupata kadi za NIDA ndani ya muda mfupi

    Yani kati ya kitu kimoja kikubwa Tanzania imeshindwa kutoa huduma yake kwa angalau hata asilimia 30% ni huduma ya NIDA yani huduma hii imekuwa tatizo kubwa sana kwasababu inaweza pelekea mtu kukosa kuendelea na masomo sababu ya kukosa namba ya NIDA itakayomsaidia mtu aliyemaliza Kidato cha Sita...
  14. JamiiForums Tanzania Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa. Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kama sehemu ya vituko!

    Kutoka Maktaba!
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  17. JamiiForums Tanzania Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

    Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
  18. JamiiForums Tanzania Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania

    Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania. Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela. Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2 vya kuunganisha magari Nchini Katika kiwanda cha GF Track kimetoa ajira 300 na kiwanda cha Saturn...
  19. JamiiForums Tanzania American Dream vs Tanzania Drama

    Hili neno liheshimiwe kabisa kuwa tanzania ni nchi ya drama kama wafanyavyo serikali ya ccm.Hivi unawezaje kuchezea mahakama kwa kupata mihuri alafu na wakuu wa wilaya na mkoa kuweka sahii zao kisha ukakataa kuwa sio nyie kuhusu ngorongoro. Inakuwaje swala la utekaji asilimia kubwa ni jeshi la...
  20. I

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Kesi za Ubakaji na Ulawiti Zazidi Kuongezeka Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha yaongoza orodha kwa kesi nyingi zilizoripotiwa

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023. Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…