tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania MASWALI YA KUJIPIMA NA USAILI ENGLISH TEACHERS TANZANIA

    ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed. As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
  2. JamiiForums Tanzania Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

    Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  4. JamiiForums Tanzania Kwenu waislamu: Jengo lililonusurika kwenye moto wa Marekani ni kutokana na uimara wake wala sio muujiza

    Kwenu Waislamu Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni. Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia limejengwa na saruji. Miji mingi Marekani imejengwa kwa mbao, hivyo ni rahisi kushika moto. Waislamu...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu

    Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu. Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. #kaziiendelee #tunaendeleanamama #MkutanowaCCM2025
  6. JamiiForums Tanzania Mnyilinga Digital ( pata offer kubwa ) kutoka kwetu

    Mnyilinga Digital tunakupa Huduma Bora za Graphic Design kwa Ajili ya Kukuza Biashara na brand Yako! Bland Umechoka na muonekano wa kawaida wa biashara yako mtandaoni? Unahitaji huduma za graphic design zitakazokufanya ujitofautishe na kushindana kwa urahisi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi uko...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Yasaini Mkataba Wa Billion 354.45 Kwa Ajili ya Maendeleo ya Kilimo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa kilimo vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  10. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni adui wa Tanzania

    Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa, ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana. Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio. It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
  12. JamiiForums Tanzania Je kilimo cha kokoa Tanzania kipo vipi?

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
  13. JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

    Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
  15. JamiiForums Tanzania Activist Mtanzania aliedai kutekwa Kenya ni kama vile alijiteka mwenyewe tu ili kuzichonganisha na kuharibu uhusiano wa serikali za Kenya na Tanzania

    Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri. Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma...
  16. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

    Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi 1.Siasa ya unafiki unafiki 2. Huna...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania wanaugua ugonjwa wa ukosefu wa 'logical thinking'; haimaanishi harakati ni mbaya, tuwasaidie

    Harakati Harakatini Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya page 8; yeyote anaweza kuisoma na kujionea kilichomo. Ukipitia hiyo document ya haki za binadamu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…