tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

    Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

    Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na furaha. Congo DR na Tanzania hazina furaha kabisa.

    https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

    Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

    Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana. Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapoteza muda tungekuwa mbali kama taifa

    Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti? Mada Kuna...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Uzinduzi wa Operation ya No Reforms, No Election Kanda ya Nyasa umebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025

    TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA, Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection – Kanda ya Nyasa (Mbeya) imebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025. Marekebisho haya...
  10. JamiiForums Tanzania Chuo cha Michezo Tanzania

    Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu ya muziki wa singeli nchini Tanzania: Dogo Sajent na mwenzake wamemfunika Mario kwenye Singeli version ya kisa salio

    Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original. Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
  14. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wawataka raia wake kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya Pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa kusafiri katika maeneo haya bila kibali cha awali ======================== Location: Islands and...
  15. JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini kusini mwa Tanzania kumesahaulika?

    Licha ya historia yake kongwe na mchango wake katika uchumi wa nchi ila bado miundominu yake Ina hali dunia?Unaweza kunieleza sababu ni Nini? Kwa mfano hata mradi tu wa LNG Lindi hata tu maofisi Yao kujengwa bado je mradi upo?airport ya Lindi na Mtwara haijatanuliwa labda tu bandari ya uvuvi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  19. JamiiForums Tanzania "Theft" - A new book by Abdulrazak Gurnah is out

    The Zanzibari-British Nobel laureate (Literature, 2021) Abdulrazak Gurnah, released his first book after receiving the Nobel Prize. Titled simply "Theft", the book is out since March 18 2025. I have already received one copy and ordered one for a friend so we could read together...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Sababu za Tanzania Kuendelea Kuagiza Bidhaa Nje Licha ya Kuwa na Utajiri wa Maliasili na Rasilimali Nyingi

    Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina viwanda vya kutosha vya kuzalisha bidhaa za mwisho. Licha ya kuwa na madini mengi ya chuma kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…