tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dah! Yaan Tanzania imekuwa ya kutumia nyanya kutoka kenya kweli?

    Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa. Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu Tanzania ni janga la Kitaifa

    Ndugu zangu habari zenu Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi ● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40 Kwa hiyo serikali imekosa imani na vyuo ambavyo vimepewa kibali na wao wenyewe kwa ajili ya kuzalisha...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda inakuja

    Miaka ya hivi karibuni inashuhudia matajiri wakiongezeka. Wanatunza fedha benki. Ndio maana BONDS zikitangazwa fedha zinatolewa zaidi ya bond. Ina maana watamzania wana fedha kwenye mabenki. Nawashauri watanzania weusi. Wasioogope kuwekeza kwenye viwanda. Matajiri wakubwa ni wenye viwanda...
  5. JamiiForums Tanzania Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

    Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada. Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
  6. JamiiForums Tanzania Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru. Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
  7. JamiiForums Tanzania Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni kubwa mno kuliko Budget ya Tanzania

    Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore. Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
  8. JamiiForums Tanzania TANZANIA NI KAKISTOCRACY

    Kakistocracy A kakistocracy is a government run by the worst, least qualified, or most unscrupulous citizens. kakistocracy, is a government in which the worst people are in charge. This obscure word is used in political commentary, especially to call out a government considered corrupt or...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya...
  11. JamiiForums Tanzania DRIVER-Transport officer available (V.i.P grade ||)

    Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%… 📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.

    . Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

    David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki. "Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kushirikiana kujenga mradi wa maji Biharamulo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
  15. JamiiForums Tanzania Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

    Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu. Nchi haina umoja Nchi ni tajiri sana Nchi haina jeshi hata la watu laki moja Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita. Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kushirikiana kujenga Mradi wa Maji Biharamulo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni lini Tutakua Taifa (Nation)?

    Nimejifunza kitu wiki hii Tofauti ya Nation na Country. Kwa kiswahili sijui ni aje Nchi na Taifa. Taifa ni nchi yenye Tamaduni moja Lugha moja Dini moja na mila moja Wakati nchi Ni jamii ya watu wenye lugha tofauti na tamaduni tofauti waliojikuta au kuishi pamoja. Mfano wa mataifa -Ujerumani...
  18. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi water vending kiosk kwa Tanzania?

    Habari wana jukwaa, ninaulizia nitapata wapi water vending mashine/ kiosk Natanguliza shukran
  19. JamiiForums Tanzania Je, wahindi ama kihindi ni hoja ya makabila Tanzania?

    Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika. Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua. MADHARA 1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…