tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Live from Stanbic Biashara Incubator,Acacia Building: Policy Forum Breakfast Debate: Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget

    Wanabodi, Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget. Hapa tunajadili jinsi Tanzania tunavyoibiwa mi fwedha ya kutosha kupitia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Deserves Better: Why Samia Suluhu’s Incompetence Spells Doom in 2025

    In the wake of Kenya’s youth uprising in June 2024, Tanzanian youth stand at a crossroads. The call for the mother of all protests grows louder, fueled by a generation suffocating under economic stagnation, corruption, and a leadership that stumbles in the dark. At the helm is President Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo. Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini...
  4. JamiiForums Tanzania Blog /Website 10 Bora zinazolipwa vizuri Tanzania

    Hizi ni Blog/Website zinazolipwa vizuri tanzania 1.Mabumbe .com -Milion 100 /mwezi 2.Millard Ayo-million 88/mwezi 3.The citizen-Million 75/mwezi 4.Ajira yako- Milion 43/mwezi 5.Kupatana -Milion 39/Mwezi 6. 7. 8. 9. 10. Itaendelea
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waingereza hawataki Tena masuala ya haki za binadamu sie Tanzania nani hadi tukumbatie?

    The UK must look again at international agreements, Conservative leader Kemi Badenoch has said. In her first major speech on foreign policy, Badenoch said if the European Convention on Human Rights (ECHR) continued to stop the government acting in the country's national interest, the UK would...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mbinu zilizotumika kuzuia Uzimwaji wa Mitandaoni katika Nchi za Bara la Asia na Oceania. Tanzania tunachakujifunza hapa

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
  7. JamiiForums Tanzania Sekta ya kilimo peke yake ina ajira za uhakika na za kutosha kuajiri vijana wote wasio na ajira Tanzania

    Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku. Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi. Ni vizuri kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

    Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi . Khaaa?? This is a shame !!. Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi. Yaan...
  9. M

    JamiiForums Tanzania From shortage to solution: The role of specialized trainings in Tanzania healthcare revamp

    Dar es Salaam. Tanzania’s healthcare sector is undergoing a transformation, addressing a long-standing challenge of limited access to skilled healthcare professionals. For a long time the country has struggled with a shortage of trained medical personnel, affecting the efficiency of healthcare...
  10. JamiiForums Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  12. JamiiForums Tanzania Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere. Isikilize/ iangalie halafu...
  13. JamiiForums Tanzania Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

    Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo Asante.
  14. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) imekabidhi matundu 24 ya vyoo kwa milioni 51 kwa shule ya sekondari Mpechi Njombe

    Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu. Akikabidhi mradi huo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

    Hili limeniumiza sana Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite. Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA inawaza madaraka tu hawana Sera za kukwamua uchumi wa Tanzania

    Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu. Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama. Ni ujuha kalulu kufikiri...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  18. JamiiForums Tanzania Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wabunge wa Ulaya wafanya ziara nchini Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi

    UMOJA WA ULAYA Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs) kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 24 hadi 26 Februari. Ziara hii...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

    Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…