tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni ngumu ama?

    MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
  2. O

    JamiiForums Tanzania Haki haiombwi, inapiganiwa: Vijana wa leo kwa Tanzania Bora

    Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko. Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  5. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania imefaidika vipi wakati dola imeporomoka sana

    Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
  6. JamiiForums Tanzania Hon. Tundu Antipas Lissu and the Fate of Chadema and Democracy in Tanzania

    Tundu Lissu is a prominent Tanzanian lawyer and politician, renowned for his unwavering commitment to democracy and human rights. Born on January 20, 1968, in Ikungi district, Singida, he has played a significant role in the nation's political landscape. Early Life and Education Lissu completed...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliowahi kushitakiwa kesi za uhaini Tanzania

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

    Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii. Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
  11. JamiiForums Tanzania Malipo ya mtandaoni kwa tanzania ni pasua kichwa sana

    Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi. Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuiombee Tanzania tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi

    Wa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu. Wa Tanzania Tuna dini 1: Wakristo 2: Waislam 3: Wapagani Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele za Mungu kuliombea Taifa letu ili tuvuke salama
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  14. JamiiForums Tanzania Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?? Tanzania yangu jamani

    Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

    Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia. Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

    Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend 1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania China amerestrict uuzaji wa rare earth metals kama sehem ya vita ya kiuchumi aliyoianzisha trump-hii ndo sehemu Tanzania ya kusimamia

    Tumeona china ama-restrict uuzaji wa rare earth metals kwa nchi zote dunia sio marekani tu kama mtu anayepigana naye vita na haya ni maoni yangu ambayo yatakuwa na faida kwa nchi kama yakifanyiwa kazi Mfano wa rear earth material zilizopo Tanzania neodymium praseodymium
  19. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi mkuu wa Tanzania hauwezi kuahirishwa wala kuzuiwa na na kelele au mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini

    Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano. Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia, taasisi ya dini, kabila wala shinikizo la kundi lolote la watu kutoka ndani au nje ya nchi, bali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…