tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  2. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

    Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit. Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu. Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa. Nina mashaka.
  5. JamiiForums Tanzania Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  7. JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Labda uwe Mcha Mungu wa kweli unaweza ukaachia madaraka Tanzania

    Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania 1. Posho 2. Usafiri mzuri 3. Ulinzi wa kutosha 4. Mahitaji yote free Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Dkt. Immanuel Lazaro amefariki Dunia

    Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi! TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 . Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
  11. JamiiForums Tanzania FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY 🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  13. JamiiForums Tanzania TEHAMA TANZANIA (IT)

    Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,, Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inarudia historia ya Yerusalemu?

    SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
  15. JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  16. JamiiForums Tanzania Mauzo ya bidhaa za Tanzania Soko la Ulaya yameongezeka

    MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023. Ongezeko hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nikivuta taswira kwa yanayoendelea sasa hivi ndivyo navyoiona Tanzania ya 2050

    Natabiri haya MAENEO Kutakuwa na mikoa 48 Kutakuwa na majimbo 240 Kahama itakuwa na hadhi ya jiji AJIRA Kilio kikali sana cha ajira, Hiki tunachokiona sasa ni cha kawaida sana. AI itakuwa imechangia sana kupunguza ajira POPULATION Kutakuwa na watanzania zaidi ya milioni 150 SIASA CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Kijue chuo cha VETA Tanzania

    VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na watu wazima. Imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya elimu ya kawaida ya darasani kwa lengo la kujiajiri au kuajiriwa kwa ujuzi wa vitendo. 2...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mwameja Tanzania one 1993

    Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu. https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…