tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  3. JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  5. JamiiForums Tanzania Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?

    Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Tasnia ya filamu Tanzania

    Kwa mwenendo wa movie za kibongo kukosa radha kwenye vitu vya uhalisia ....mimi nimeamua kula course baadae niwe na movie production ambayo itakuwa advanced na inaweza kutengeneza movie za aina zote kwa mwonekano wa uhalisia kama wazungu Tutakuwa na uwezo wa kutengeneza movie zenye mwonekano...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

    Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Waziri Mkuu wa Tanzania au Tanganyika?

    Wataalam wa Katiba mnisaidie hili! Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika? Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika! Isitoshe, nchi ya Zanzibar...
  11. X

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo apokelewa Kigoma, asema hatutapiga kura kwa Rais Samia, bali tutarundika kura 2025

    "Hakuna Kazi Nyengine Nitakayoifanya Zaidi Ya Kumsaida Dkt. Samia Suluhu Hassan Ili Akija Katika Jimbo Hili La Kigoma Mjini Sio Kumpigia Tu Kura Tumrundikie" Baba Levo ameyasema hayo jana Mei 20, Mkoani Kigoma wakati alipokutana na Wanachama wa CCM na kukabidhiwa Kadi ya Uanachama na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  15. JamiiForums Tanzania Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania watembelea Bandari ya Oslo nchini Norway

    Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Immigration laws prohibits a prostitute to enter the country! Read Sect.23e

    Immigration Act sect. 23(1-e)states clearly as follows; A prohibited immigrant means any person who ,If he seeks to enter Tanzania is or,if he has entered Tanzania was at the time of his entry is a (e)A prostitute or a person who is living on or receiving,or who prior to entering Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Reliable Air Cargo Services from China to Tanzania at $11.5/Kg

    Dear Customers We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram. Why Choose Our Service? Speed: Timely delivery of your goods using efficient air transport routes...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  20. JamiiForums Tanzania Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya. Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…