tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Jarida la World Visualized Limetoa Takwimu Za Nchi 10 zenye kuongoza kwa Uchumi Haramu (Shadow Economy), Tanzania yashika nafasi ya 7 Duniani

    Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi. Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  3. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  5. JamiiForums Tanzania Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  9. JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  10. JamiiForums Tanzania Je? TANZANIA inalindwa na majeshi mipakani kote?

    Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo. Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado maadui wanapenya na kuingia na kufanya uhalifu wa kigaidi. Mungu bado anatupenda tusimkufuru na...
  11. JamiiForums Tanzania Dr . Ayub Rioba na Hoja 20 za Uzalendo kwa Bara Letu, Africa na kwa Nchi Yetu Tanzania!. Msimamo wa Rais Samia "Tanzania Kutoingiliwa" Uuungwe na Wote

    Wanabodi, Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii. Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara yetu ya uhamiaji, ikawarudishia uwanja wa ndege, kurejea walikotoka, na waliofanikiwa kupenya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  15. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  17. JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

    Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema! Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA. Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge letu, inusuru Tanzania

    Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni. Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao. Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu. Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…