tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Sales and Marketing Personnel (25 Positions) at Beauty Group Tanzania May 2025

    Sales and Marketing Personnel (25 Positions) at Beauty Group Tanzania Background Angela Peace and Love Company Limited (Beauty Group Tanzania) is a company registered under the laws of Tanzania, specializing in selling used clothes, shoes, bags, new shoes, and towels. The company headquarters...
  2. JamiiForums Tanzania Wapenda haki tunataka kusikia tamko la Umoja wa Makanisa Tanzania CCT

    Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la kushambulia viongozi wa kidini na kufunga makanisa yao linachafua sana taswira ya Tanzania tunaonekana hatuna akili

    Suala la kushambulia viongozi wa kidini na kufunga makanisa yao kisa kukemea utekaji na mauwaji linachafua sana taswira ya Tanzania tunaonekana hatuna akili. Hata kama mfano unataka uraisi Sasa uraisi unakuwa na maana gani kama dunia ikunyooshe vidole wewe, watanzania hawakutaki unajifachafua...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania nata na biti. Wapigeni CHADEMA ili mpandishwe vyeo

    Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya. Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini. Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA? Wanasiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Zaidi ya watu milioni 1.5 Tanzania wanatumia ARVs

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98. Akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mo Ibrahim anavyoshangaa Tanzania kuwa na utawala wa kidictator kuwatesa wapinzani, kitu ambacho anasema hakutegemea kutoka Tanzania

    .....among other Places, Tanzania?!! Hakutegemea kuwa Samia anaweza kuwa hivi alivyo! Sikiliza
  8. JamiiForums Tanzania Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  9. D

    JamiiForums Tanzania KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu hakuna mwekezaji atakayekubali shauri lake lisikilizwe na Mahakama za Tanzania na hakuna shauri la nje ya Tanzania Serikali itashinda

    Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao. Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi kuwafanya wawekezaji kuogopa kupeleka mashauri yao, tulimuona anakosea sana Ila ukiona namna hoja za...
  11. JamiiForums Tanzania Msimamizi wa Majiji Tanzania: Tanzania City Authority

    Oooh habari Tanzania ! Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale. Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hadhi ya Tanzania ilivyo, bado hatujafika mstari wa kushitakiana kwa kesi za "UHAINI", yaani "TREASON"

    Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo! Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
  13. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka kwa Dkt. Hussein Mwinyi-Rais wa Zanzibar kwa viongozi wote wa Tanzania

    Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
  14. JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi. Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
  16. JamiiForums Tanzania Semi Final | PONJORO VS KENGE June 1, 2025.

    Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA. Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku Kocha mkuu wa Ponjoro Fc kutoka Kinondoni akiwahakikikishia ushindi na kutinga final wale mbonga...
  17. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania UMOJA WA WASTAAFU TANZANIA

    RETIREEES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT) 1.Umoja wa Wastaafu Tanzania ni Jumuiya ya kiraia iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 14/3/2022 na kupewa Na. ya SA 22924 Makao Makuu ya REAT yako Jijini Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala . 2.Ni Umoja kwa Mstaafu yeyote anaepokea...
  19. JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali ya Tanzania kutupa majibu mepesi ikiwa nchi kama Botswan ina rasilimali moja na ajira zimewezeshwa?

    Nchi ya Botswana ni mfano mzuri wa nchi yenye rasilimali moja kuu — almasi — ambayo imeweza kutumia vizuri rasilimali hiyo kuwasaidia wananchi wake kuwa na ajira na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa. Sababu za mafanikio ya Botswana: 1. Usimamizi mzuri wa mapato ya rasilimali...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania na misukosuko yao

    J.K. NYERERE Huyu Mzee pamoja na sifa kedekede anazomwagiwa hivi Sasa, safari yake haikuwa rahisi. Alipewa majina ya HAAMBILIKI na MCHONGAMENO. Alichukua hatua kadhaa Ili kukabiliana na upinzani dhidi ya malengo mahususi ya kipindi kile, ya kujenga siasa ya ujamaa pamoja na umoja wa kitaifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…