tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

    Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
  3. JamiiForums Tanzania 1,714 Teachers Jobs at MDAs & LGAs Tanzania – June 2025

    Join the Future of Education: Exciting Teaching Opportunities with MDAs & LGAs in Tanzania Are you passionate about shaping young minds and contributing to Tanzania’s educational landscape? The Ministries, Departments, and Agencies (MDAs) and Local Government Authorities (LGAs) in Tanzania are...
  4. JamiiForums Tanzania Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vile Chuki ya Tanzania kwa Kenya was Institutionalized

    By Meshach Yobby (Facebook post) I think this will be my last post on Tanzania, and why their hatred for us was institutionalised. I'll try to summarise. Before independence, Nyerere wanted Kenya, Uganda, Tanganyika, Zanzibar, to form the East African Federation. He knew it would be easier to...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

    Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae. Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm...
  7. JamiiForums Tanzania Blow to Tanzania as European Union bans all air carriers over deficiencies in oversight

    The European Union has officially banned all air carriers certified in Tanzania from operating within its airspace due to serious safety oversight deficiencies The decision was announced on June 3, 2025, following a technical safety audit that flagged critical issues within Tanzania's civil...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  9. JamiiForums Tanzania Tujenge "Green Space Garden City" kwa Majiji yote Tanzania

    Habari Tanzania ! Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ? Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia...
  10. JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  11. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

    Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

    Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
  15. JamiiForums Tanzania Strategic Execution Business Partner at Yas Tanzania June 2025

    Strategic execution business partner – New vacancy (apply by June 13, 2025) Let’s grow together—become our Strategic Execution Business Partner. About the role: We are seeking a Strategic Execution Business Partner with a master’s degree in business, finance, strategy, or a related field, and...
  16. JamiiForums Tanzania Nakusalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mtu amenitumia msg ameanza na maneno hayo. Sijapendezewa. Yule mtu anaitwa nani sijui,Engels or something,ni me delete Ile post,sijui ana shida gani. Ameweka video ya mtu amepondeka uso kwa kupigwa. Huyo mtu alikuwa anaongea maneno ya kumkashifu K Julius Nyerere. Like it is something to...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Hatupo kwaajili ya CHADEMA wala CCM; Tupo kwaajili ya Kulisimamisha taifa la Tanzania na kuwapa nguvu watanzania kwa Haki

    Mpo Salama! Hakuna cha CCM wala Chadema. Hakuna cha Tundu Lisu wala Samia Suluhu! Hatumtetei yeyote na hatupo kwaajili ya yeyote. Tupo kwaajili ya Watanzania wote. Hatukubali Mtanzania yeyote aonewe. Iwe ni Mkubwa au ni mdogo. Iwe anahadhi au hana hadhi. Ndio maana tunapiga Kelele watu...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…