tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo kisiwa: tusiseme tena watuache na mambo yetu ya ndani

    Dunia tunamoisha imeweka taratibu zake ili kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa. Inapotokea kwamba kuna uvunjifu wa haki za binadamu, ni wajibu wa jumuhiya ya kimataifa kuingilia kati. Approach iliyotumika ku deal na wanaharakati kutoka nchi jirani ilikuwa mbaya sana na ilichafua taswira ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

    Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati. Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema...
  4. JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu: Baada ya kukubali Wanasiasa wawe juu ya Utendaji wa Mifumo, TAKUKURU imejifia rasmi na Rushwa ndo kila kitu Tanzania

    Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote. Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nakusanya Speech Za Rais SSH akiongolea mustakabali wa Tanzania

    Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  7. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kenya vs Tanzania

    Kuna tofauti kubwa sana
  8. JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  9. JamiiForums Tanzania Jengo la Biashara linauza Kariakoo Mtaa wa Aggrey

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  10. JamiiForums Tanzania Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  11. JamiiForums Tanzania Maduka 68 na store zake,hapa ni kariakoo daslam tanzania 🇹🇿bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  12. JamiiForums Tanzania Tusijifanye hatujui kuwa hata Tanzania sasa imejumuishwa katika nchi zaidi ya 30 ambazo Wananchi wake hawatakiwi kwenda Marekani

    Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
  13. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Mabati kutoka Sunbank Tanzania

    Karibu Sunbank Ujipatie Mabati kwa bei rafiki . Tupo na Aina zifuatazo za Mabati Tupo na Aina zifuatazo za Mabati. 1. Gloss ( Mtelezo ) 2. Rich tile 3. Ridge /Valley 4. Matte (Chenga chenga ) Call +255 675 335 081 Bei zetu Location :- DSM-Banda la ngozi karibu na...
  14. JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Mtanzania na maadui wa Mtanzania ni umaskini na Uafrika . Uchawa unaliangamiza Taifa , tuukatae kwa nguvu zote

    Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena . Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia . Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  17. JamiiForums Tanzania Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo. Centre ya...
  18. JamiiForums Tanzania Gravity ni Nini ?🤔imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
  19. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania PICHA: Je, DC bora ni huyu?

    == Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki, Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…