tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Makampuni ya Payment Gateway Tanzania 2025: Umejaribu ipi na kwa nini?

    Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali wadogo. Baadhi ya makampuni yaliyopo sasa ni: ClickPesa Celcom Pay Pesapal DPO AzamPay Zenopay...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Political cartel ndipo tulipofkia

    In the context of politics, a cartel refers to a group of political parties/individuals that collaborate to maintain their power and influence within the political system, often by limiting competition and sharing resources Thekla Mkuchika Benjamin Samwel Sitta Simon Nyakoro Sirro Justice...
  3. JamiiForums Tanzania Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

    #mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ,Bunge linaweza tunga Sheria Kwa ajili tu ya kumbana TUNDU LISSU,au kumlinda MwanaCCM fulani!!

    Fikiria unakua na Bunge ambalo Wabunge wake wanakaa kuwaza namna ya kumdhibiti TUNDU LISSU!! Au Bunge linatunga Sheria Kumlinda Kiongozi fulan wa Chama chake Maajabu yanaenda mpaka Mahakaman, Majaji wanatoa Hukumu za ajabu sababu tu zitaibeba CCM, wanasahau kua Hukumu zao hizohizo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni & Compliance Journey for Businesses in Tanzania

    Tuwasiliane leo: WhatsApp: +255674916323 Piga: +255674916323 Huduma Zetu: USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! Tax Clearance Leseni za Biashara Company/NGOs Profile Usajili wa Alama za Biashara na Huduma Blog na Website, na mitandao ya kijamii Sera ya...
  6. JamiiForums Tanzania Call to Action: An Open Letter to President Samia on the Need for the Government to Respect the Non-derogable Right to Religious Freedom in Tanzania

    INTRODUCTION Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings than what they say. The wisdom of this saying fully applies to your government's actions between...
  7. JamiiForums Tanzania Bilioni 63.2 za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), zasainiwa ili kuwezesha Taasisi za Fedha Tanzania

    EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuziwezesha taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania katika shughuli za utoaji mikopo kwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kauli na mambo kama haya yaliashiria tangu mapema kabisa viatu vya mama Tanzania havimtoshi sema tulipuuzia

    Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa waambia watumishi wa Tanzanja Bara kwamba HILI NALO MKALITIZAME; Kwa vichwa vya watu wa bara halina...
  9. P

    JamiiForums Tanzania The Genius from the Ghetto

    Naomba kuwasilisha kazi yangu kwa ajili ya mashindano ya 'Stories of Change'. Hadithi hii imejengwa kwenye msingi wa matumaini, mapambano na ubunifu wa vijana wa Tanzania. --- “They called me mad because I asked too many questions. But madness, I learned, is just brilliance misunderstood by a...
  10. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

    Salaam, Shalom! Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote. Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima, Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msikie Kikwete, Alisema Uchaguzi wa Kenya ni wa Uwazi, lakini Tanzania anataka Tuendelee na staili zetu za Uchaguzi

    Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha matokeo na kuyatuma makao makuu ya chama. Lakini pia kikwete alishawahi kusema haya (((((Ninaomb a...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  14. JamiiForums Tanzania Acha uchawa. Pambania maisha Yako. Pambania Tanzania

    Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa. Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

    Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo? NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
  17. JamiiForums Tanzania Marufuku ya kanisa katoliki kwa wanasiasa kutoa salamu kwa waamini kanisani ni kama ile habari ya kutengeneza tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe

    Kutafuta ushujaa wa kinafiki namna hiyo kwa taasisi kubwa kama Roman Catholic ni fedheha kubwa sana, licha ya kua marufuku hii ya kisiasa kanisani pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti upendeleo wa wa baadhi ya makasisi waandamizi wa kanisa hilo kwa viongozi wa kisiasa, hususani wa...
  18. JamiiForums Tanzania Safari ya Ndoto: Tembea Mount Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Arusha NP, Chemka & Serval, Tuondoe Mawazo, Tuijue Tanzania Yetu!

    Ndugu wanajamvi wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…