tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

    Siyo kila wazo la wapinzani ni baya. Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi. Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada. Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense. Viongozi waliopo sasa na waliopita...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuwq na maadili na heshima Tanzania hii!!

    Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu We fuatilia ndoa nyingi sana...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDOM aibuka mshindi kwa kubuni Nembo ya Made in Tanzania

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza wa bunifu ya Utengenezaji wa Nembo ya Made in Tanzania ambapo lilihusisha zaidi ya washiriki 80...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yatajwa kurejea nyuma kiutawala bora

    Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na kuendelezwa kwa ndoa za utotoni. Hayo yamo kwenyue utafiti uliofanywa na (SAIIA) kwa kushirikiana na...
  6. JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  7. JamiiForums Tanzania Huu utiriri wa wachina na umachinga wao unaashiria nini kwa Tanzania na Afrika?

    Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumerudishwa nyuma miaka 20. 2025 ya ni kama 2005 miundombinu mibovu

    I will be short Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa. Shule mbovu, hali ya watu mbaya, pesa imeshuka kuliko 2005, Same problems kama hatuja fanya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Made in TANZANIA, Fahari ya TANZANIA!

    Haya ni maneno yatakayotumika kuwakilisha bidhaa iliyozalishwa au kutengenezwa Tanzania. Hongera Rais Mwinyi kwa kuzindua nembo hii ya kihistoria. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yapoteza mechi ya kwanza WAFCON 2024 nchini Morocco

    Timu ya taifa ya wanawake Twiga stars wamepoteza mechi yao kwanza katika mashindano ya kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yaani WAFCON dhidi Mali kwa goli 1-0
  13. JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  14. JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  16. JamiiForums Tanzania Mali Vs Tanzania | 2025 Women’s Africa Cup of Nations | Group C | 07.07.2025

    Wakuu hamjambo, Usiku wa leo Saa 4:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki, Timu yetu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani dhidi ya Mali katika mchezo wa AFCON ya Wanawake huko nchini Morocco. Huo utakuwa mchezo wetu wa kwanza katika kundi C ambalo pia kuna timu za South Africa pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Should Tanzania intervene to restore peace and order in Kenya?

    As a humble EAC citizen Im obliged to propose a permanent solution towards a long lasting unrest and disorder in our neighbouring Nation of East Africa namely Kenya. We might know for sure that this on going civil unrest at Kenya is partly due to historical background of tribal clashes fueled...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, hakuna wizi wa Kura Tanzania

    Nimeamua mwenyewe kusema kuwa hakuna kura zinazoibiwa Tanzania kwa mazingira sababu hizi; 1. Wagombea wa vyama vya upinzani wenyewe kwa vinywa vyao utawasikia wakisema kwenye majukwaa, oooh Ubunge mpe fulani wa chama lingine isipokuwa nipeni mimi. 2. Wapinzani wenyewe vichwa vyao vipo resi...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…