tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS wins global iRAP awards 2024

    TANROADS wins global iRAP awards 2024 By Our Reporter The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) has won the International Road Assessment Program (iRAP) 2024 awards as the world’s best performing road authority in eliminating high-risk roads. The event that took place at the Gary Liddle...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya Jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne na sita kwa lengo la kuhakikisha Jiji la Dodoma linaondokana na msongamano wa magari na kusaidia...
  4. JamiiForums Tanzania Songwe: RC Chongolo aiagiza TANROADS kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Isongole-Isoko (km 52.419) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya Isongole-Isoko anaanza ujenzi mara moja. Tayari serikali imetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa barabara...
  5. JamiiForums Tanzania Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tunaomba utoe maagizo TANROADS kuja na mkakati wa kupunguza foleni Kituo cha Kimara Korogwe

    Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote lilivyosheni vifaa vya ujenzi wa barabara. Kwa kuwa Morogoro Road ndio barabara kuu kwa nchi yetu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Hili shimo barabara ya Dodoma hapa stand ya Dodoma mjini Morogoro hamulioni?

    TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!! Kuna watendaji nahisi hawaelewi wajibu wao katika taasisi za Serikali especially TANROADS. Na hili shimo ipo siku litasababisha ajali...
  8. JamiiForums Tanzania TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu mingine nchini. Akizungumza kutoka Makao Makuu ya TANROADS, Mha. Mombia amesisitiza kuwa, udhibiti...
  9. JamiiForums Tanzania TANROADS Isimamie Miradi ya CSR Ijengwe kwa Kiwango

    TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kufifia kwa taasisi za serikali: Mfano TANROADS

    Taasisi nyingi za serikali zinapitia vipindi vigumu, ikiwa ni pamoja na changamoto mbili kuu: uhaba wa fedha katika kutekeleza majukumu yake na kuacha misingi ya kimuundo kwa taasisi hizo. Mfano wa wazi ni TANROADS. TANROADS (Tanzania National Roads Agency) ilianzishwa rasmi Julai 1, 2000...
  11. JamiiForums Tanzania TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Atema Cheche TANROADS

    WAZIRÎ ULEGA ATEMA CHECHE TANROADS NA MWANDISHI WETU Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  15. JamiiForums Tanzania Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma

    BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa 📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa aiagiza TANROADS kufunga mizani mitatu ya kupima uzito wa magari Tunduma

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili kuongeza kasi ya upimaji wa magari na kupunguza msongamano wa malori yanayosubiria kwa muda mrefu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanroads wekeni Bicons kuonesha mwisho wa road reserve hasa mijini kuwatahadhali wananchi wasijenge kuepuka kuwabomlea nyumba

    Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz kwa wananchi linapokuja suala la kubomolewa nyumba zao.
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS: Tsh. Bilioni 18 zimehusisha matengenezo Miundombinu ya Mwendokasi (Ferry-Kimara, Magomeni-Morocco na Fire-Msimbazi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo yakiri changamoto ya taka Ubungo Riverside, yawaomba TARURA na TANROAD kuzibua mitaro ya barabara

    Salaam Wakuu, Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi. Hapa chini ni Ufafanuzi; "Ufafanuzi kuhusu uwepo wa mazingira hatarishi ya magonjwa ya mlipuko kutokana na utiririshaji wa maji ovyo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

    Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…