tani

Daniel M. Tani (born February 1, 1961) is an American engineer and retired NASA astronaut. He was born in Ridley Park, Pennsylvania, but widely considers Lombard, Illinois, to be his hometown.With Peggy Whitson, Tani conducted the 100th spacewalk on the International Space Station.

View More On Wikipedia.org
  1. darautobroker

    Car4Sale MITSUBISHI CANTER CRANE YA TANI 4 IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 78M Call📞+255 747 999 927 MITSUBISHI CANTER CRANE(4T) Year: 1998 Engine: 4D35 L o w Mileage Transmission: AUTO ✨Direct Injection ✨Robust Engine ✨Clean Chassis ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Swap Deals Allowed
  2. Imani rubaba

    Tanzania tunatumia takriban tani 79,000 za kitimoto kwa mwaka, lakini tunazalisha tani 27,000 tu

    Kwa mujibu wa TAPIFA (2024) 🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini huzalisha tani 27,000 pekee. 👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka. Huu si upungufu wa kawaida — 👉 ni fursa kubwa ya biashara kwa wafugaji wa ndani. 🔴 Changamoto si soko...
  3. Mhaini

    Sio Buzwagi tu wanaiba Dhahabu, Sudan Kusini, tani 5 zaa dhahabu zinaibiwa kila Mwaka

    Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii ikiashiria namna serikali imeshindwa kusimamia uchimbaji wa madini licha ya kuwepo kwa kanuni, hali...
  4. R

    Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Bandari yahudumia tani milioni 32 kutoka tani milioni 18

    BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18 Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021. Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025 wakati wa kikao cha wadau wa Kamati ya Maboresho ya Bandari, kilichoendeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
  6. D

    Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  7. G

    Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  8. tonicimmobility

    Tani 128 za dengu zakamatwa zikitoroshwa - Mnayara

    Mamlaka ya Uthibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko Nchini (COPRA), kwa kushirikiana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, imekamata tani 128 za dengu zilizokuwa zikitoroshwa mpakani mwa Singida na Manyara. Mazao hayo yalibainika kukosa kibali cha usafirishaji kutoka mamlaka husika na...
  9. J

    RC Kanali Evans Alfred Mtambi: Viuatilifu karibu Tani 2,000,000 na mbole Tani 10,000 zimepokelewa mkoa wa Mara miaka 4 ya Rais Samia

    Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya Rabour (Rorya) – TSh milioni 982.82. Lengo ni kuongeza uzalishaji na kipato cha wanufaika. Pia...
  10. M

    RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

    Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka...
  11. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  12. M

    Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  13. Mr Beach Boy

    Picha: Tani Boy kaharibu

    Kaambiwa weka gari pale kaweka mtaloni😂
  14. Daby

    Nina Takribani Tani 16 za maharage mekundu. Bei ipoje Dar?

    Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
  15. Dennis Robert Shughuru

    Mpunga-kutaanzishwa kilimo kikubwa cha umwagiliaji cha zao la mpunga lengo ni kuzalisha tani million 50 na baadae tani million 200+ inawezekana

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
  16. Dennis Robert Shughuru

    Ngano-kutaanzishwa kilimo kikubwa cha umwagiliaji cha zao la ngano lengo ni kuzalisha tani million 50 na zaidi kwa mwaka

    Asilimia kubwa sana ya ngano inayotumika viwandani inakua imported Sasa nikiwa Rais wa Tanzania yale mashamba kule hanang ya ngano yatarudishwa na kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha ngano cha umwagiliaji lengo ni kuhakikisha kwa mwaka tunavuna ngano zaidi ya tani million 50
  17. Dennis Robert Shughuru

    Kutaanzishwa kilimo kikubwa cha alizeti na mchikichi lengo ni kuzalisha tani million 20 kwa mwaka

    Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida, singida, kigoma, tabora n.k Lengo ni kuzalisha zaidi ya tani million 20 za alizeti na tani million...
  18. suzie _barbie

    Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  19. Sir John Deere

    Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  20. peno hasegawa

    Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
Back
Top Bottom