tangazo

  1. Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

    Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
  2. Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

    Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
  3. Tangazo la kujiunga na vyuo vya maendeleo ya Wananchi

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali. Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni: 1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
  4. P

    Nimepoteza cheti changu cha kuhitimu kidato cha nne

    JAMANI NAOMBA KWA YEYOTE YULE ATAKAYE OKOTA KUSIKIA AU KUWA NA CHETI CHA FORM 4 CHENYE JINA PETRO NATAL KIJUNGA NAOMBA TUJULISHANE KWA NAMBA 0629268795/0757658264
  5. K

    Tahadhari kwa wapenda kula matunda wote, juweni kuna homa ya ini

    Katika kula tunda, kuna kuanza kwa kula denda, kulamba chumvi, kulamba dushe, na hatimae kula tunda, na katika kula tunda kuna kutoka jasho, na mwisho kabisa kuna kumwaga majimaji kwa wote wawili. Tangazo ni hili, hivi sasa kuna homa ya INI, hii huambukizwa kwa kugusana ama kuachiana majimaji...
  6. Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…