tanganyika law society

Tanganyika Law Society is the organisation which is part of the bar association of Tanzania Mainland which was founded in 1954 by an act of parliament-the Tanganyika Law Society Ordinance 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanganyika Law Society: Sisi tunataka Katiba ya Wananchi siyo Katiba ya makundi fulani

    Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amebainisha mambo matatu ambayo wameyagundua ya wananchi wa Tanzania na baadhi ya viongozi kuhusu katiba iliyopo sasa kwa mikoa ambayo wamefanya mikutano. Amesema kuwa Miongoni mwa mambo ya msingi...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TLS [2024]na Mawakili wapoteza mvuto kwa Jamii

    TLS-Chama cha Mawakili wa Tanganyika , -Zanzibar wana Chakwao, kimekuwa kikipoteza mvuto na haiba mbele ya jamii kila uchao. Sababu zinazosemekana kupoteza mvuto kwa jamii: baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Sungusia ni kama walikuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Where are our Judiciary and the Tanganyika Law Society (TLS)?

    The Judiciary stands as one of the critical and indispensable arms of the government, entrusted with the solemn duty of ensuring justice for all Tanzanians. Similarly, the Tanganyika Law Society represents a stronghold of legal defence, where citizens anticipate support in their pursuit of...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society new Song in Judiciary Tanzania

    On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably. One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
  5. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania TLS ni chama cha wanasheria kweli? TLS Wanajua maana ya siasa za biashara

    Uchambuzi wao kuhusu makubaliano ya serikali ya Tanzania na Emiratrs of Dubai unaleta shaka sana Vipengele vingi TLs wamechambua kama watu wa sekondari na sio professionals wa business law,Nitaongelea makosa kwenye kila article walizochambua Article 21 ya IGA na uchambuzi wao TLs naunukuu kwa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Vyama vya kitaaluma viko wapi? Tanganyika Law Society tuongozeni tupinge hili

    Vi Wapi vyama vya kitaaluma? Kuna sheria mbovu na ya ajabu inazunguka kwenye mitandao yetu hapa Tanzania Yaani HII ya mabadiliko ya sheria ya Usalama wa Taifa mi wapi wanasheria? Yaani mswada unapendekeza Usalama wa Taifa wapewe Kinga Kwa makosa ya kijinai kweli?kweli kabisa Usalama wa Taifa...
Back
Top Bottom