tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Maajabu ya dunia yapo Tanga, hakuna Umeme na Maji kwa muda mrefu sasa

    Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea ! Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
  2. M

    Sekretarieti ya CCM ziarani mkoani Tanga

    Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho. #KaziInaendelea
  3. Tanga ni kama haina serikali kabisa, matapeli wa viwanja wanafanya wanavyotaka kwa kujitapa kuwa hakuna wa kuwatia nguvuni

    Nina andika kwa masikitiko makubwa huu mji wa tanga umekuwa wa hovyo mno .As if if hakuna serikali inayofanya kazi zake kwa weledi. Hii mata ya changani kuna huyu mwenyekiti anaitwa masumbuko sijui aliwezeje kukalia kiti cha kuwa mwenyekiti. Yan hana weledi alafu ni tapeli na nusu wao pamoja na...
  4. Asante BAVICHA Mkoa wa Tanga kwa Kuwamaliza Watu Wasiojulikana

    Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
  5. Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Wanafunzi 12 wa shule ya Sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga wamekamatwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamari muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa kufuatia oparesheni maalumu ya...
  6. J

    Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  7. Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  8. R

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk Hospitali zetu zinajulikana...
  9. Ajali iliyoua watu 17 Tanga imeondoka na Mume, Watoto 2 na Mjukuu

    Ni vilio na simanzi vimetawala nyumbani kwa familia iliyopoteza ndugu 14 wa familia moja kati ya 18 waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Tanga jana Ijumaa usiku wa Februari 3, 2023. Katika ajali hiyo wamo mume na mke waliopeza maisha, mama na mwanaye na nyumba moja ambayo imepoteza watu wanne...
  10. T

    Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  11. Benki ya CRDB yakabidhi madarasa mawili shule ya msingi Chuda, jijini Tanga

    Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo...
  12. Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  13. Sirudi tena Singida, Tabora, Mtwara na Tanga

    Mimi kama chizcom sitarudi hii mikoa naweza kutelekeza familia usipo kuwa makini. Yaani ukapota huko huko kusiko julikana mpaka ndugu wakakutafuta kwenye kipindi cha ITV "yuko wapi". Hawa wanawake wako wanajua kupenda jamani. Halafu tatizo lao ukiwaleta mjini basi umeletea team fisi, wanakula...
  14. Tanga: Wanafunzi 27,867 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo. Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa...
  15. R

    Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  16. House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  17. DOKEZO Kwako Ummy Mwalimu - Mbunge wa Jiji la Tanga na Waziri wa Afya

    Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill, Wanabambikia watu mnoo yani...
  18. Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

    Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
  19. K

    INAUZWA Sofa set fior sale in Tanga

    Price 850000/= call 0787103846. Bargaining room for serious buyers ipo.
  20. K

    Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…