tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Freeman Mbowe, Lema wanaunguruma muda huu Kabuku, Tanga

    https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
  2. Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  3. Wanawake na Wanawake wa Tanga fanyeni kazi,acheni umalaya uliokithiri

    Hali ni mbaya Sana kwa mkoa wa Tanga sijawahi kuona kiwango cha watu kuona Kama umalaya ni kazi yaani kwa watu wengi wa Tanga hususani wilaya ya Tanga,pangani na mkinga Kwao umalaya ni kazi yao Rasmi Yaani kiukweli wakati nahamishiwa Tanga kikazi niliwakula Sana mademu yaani Ulikuwa Haiwezi...
  4. R

    Waziri Bashungwa, tunaomba kujua upana wa barabara toka Mabanda ya papa, Tanga mpaka Pangani

    1. Kumekuwa na mkanganyiko wa upana wa barabara kutoka Mabanda ya Papa , Tanga Mjini kwenda Pangani particularly kipande cha kutoka Mabanda ta papa - Usalama- Comercial- Mwembe Duga- Mwakidira-Mwahako Darajani. 2. Mwanzoni mara ya kwanza walibomolea watu wakapisha upanuzi wa barabara...
  5. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  6. Tume ya Madini yajipanga kukusanya Sh Trilioni 1, Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi

    Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya kazi kwa weledi, umoja na mshikamano ili kufikia lengo la Serikali la makusanyo ya shilingi Trilioni moja kutoka Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamesemwa leo Juni...
  7. Mtaa wa John Rupia Tanga

    MTAA WA JOHN RUPIA TANGA Moja ya vibao vingi vya Mtaa wa John Rupia kipo pembeni ya Msikiti Ngazija, Tanga. Nimefikia hoteli jirani na kwa hakika ni mkabala na msikiti huu na ndiyo nikabahatika kuona kibao hicho. Nilipata kuwauliza wahusika miaka mingi nyuma wakati naishi Tanga walipotoa jina...
  8. Dua ya Kura Tatu Mnyanjani Tanga 1958

    Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond alipokuwa anaagana na Wazee wa Dar es Salaam mwaka wa 1985. Katika utafiti wangu nimekuta kuwa dua...
  9. Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  10. Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

    Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga. Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
  11. Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  12. K

    Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  13. F

    Incubator bei laki 2 au unipe mitetea 25 chotara na kienyeji

    Incubator Bei laki 2 au unipe mitetea 25 chotara na kienyeji location Tanga Haina changamoto yoyote 0621264212 Inachukua mayai 180
  14. T

    Watu ambao mmeoa Tanga mtupe majibu hapa hii je ni kweli

    Ati otikiii🤣🤣👇👇
  15. Tanga: Hospitali ya Mji Korogwe (Magunga) yabainika kuhifadhi Damu kwenye Mafriji ya Nyumbani

    Mwezi mmoja baada ya kubainika jokofu la matumizi ya nyumbani kuhifadhia damu katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, hilo limebainika tena mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali (Tamisemi), Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa...
  16. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  17. B

    INAUZWA Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
  18. Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji. 5- Disco wanapiga taarabu. 6- Hakuna...
  19. R

    TANROADS Tanga rekebisha sehemu ya Mwakidila kwenda daraja la wachina Mwahako, hakupitiki na mvua za leo

    Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki. Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho. Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina. Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…