tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Msaada wa namna ya kuhamisha nguzo ya TANESCO

    Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila...
  2. P

    Makamba na nongwa za bodi ya TANESCO, ni marudio ya awamu nyingine japo yalifanyika kimya kimya

    Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
  3. F

    January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default! Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO. Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya...
  4. M

    Waziri Makamba, Uteuzi wako wa Mama Maajar kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO una mgongano wa maslahi

    Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO. Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
  5. Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu. Ila kwa kweli ni...
  6. Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
  7. Nahitaji fomu ya huduma kwa wateja ukusanyaji wa kodi ya majengo

    Naomba msaada wa "link" au "soft copy " ya fomu hii pichani. Natanguliza shukran.
  8. Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  9. K

    Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana. Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
  10. TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

    Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada Tunatumaini 1)Uteuzi Mpya...
  11. Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti...
  12. Unaponunua umeme ukapewa Token na Units, ukiziingiza kwenye mita inajuaje kuwa hizo token ni unit kadhaa?

    Habari wadau. Mi nataka kujua jambo moja silielewi kabisa. Nimejaribu kufatilia nyuzi kadhaa humu jf lakini patupu, hakuna maelezo kamili. Ipo hivi, unaponunua umeme ukapewa Token na Units, ukiziingiza kwenye mita i ajuaje kuwa hizo token ni unit kadhaa. Maana watu wanasema hizi mita hazina...
  13. Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

    Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408. -- Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS): 1. Chumba cha walinzi...
  14. Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

    Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija. Ukitaka kugeuza TANESCO liwe la kibiashara moja kwa moja kwanza utapata muwekezaji gani? Lazima awe wa...
  15. M

    Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

    Kama mwezi hivi umepita! Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco! Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake! Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele...
  16. Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  17. S

    TANESCO Butiama mtatutesa mpaka lini?

    Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka. Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea...
  18. Wananchi walalamika kutokuunganishiwa umeme Mwanza: Tatizo Nyaya za umeme zimeisha Nyakato TANESCO

    Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya Tanesco Tawi la Nyakato KUISHIWA NYAYA ZA KUUNGANISHIA UMEME. Waziri Mpya wa Nishati anza na hili La...
  19. TANESCO tukumbukeni hata sisi wanyonge?

    Tanesco tukumbukeni na sisi wanyonge. Mimi nimelipia Hiyo elfu 27,000 Tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo bado kimya , Juzi ilishushwa nguzo hapa jirani nikajua ya kwangu leo imebebwa amekewa jirani. Inauma Jina - Evalyne Jonathan Kizwili Wilaya -Kinondoni Kata- Kunduchi Eneo - Mecco mji mpya...
  20. J

    Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

    ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO "Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…