Dar es Salaam.
Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya LUKU kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku.
Meneja Mwandamizi wa Tehama katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Cliff Maregeli...