tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  2. Tanesco muwe na line zenu za simu kwa ajili ya LUKU. Mitandao inatutesa

    Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani. Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza linaingia ukipiga simuzao zinakatwa hakuna majibu. Kwanini nyie Tanesco msiwe na line zenu za simcard...
  3. KERO TANESCO Kahama tuambieni kama kuna mgao wa umeme tuelewe

    Kahama Mjini kuna laini moja ya umeme ambayo imeunganisha maeneo ya Nyihogo, Mhungura, Dodoma hadi Shunu. Miezi miwili au mitatu mfululizo pamekuwa na changamoto ya ukataji wa umeme pasipo taarifa yoyote na shida ni kwamba umeme unakatwa asubuhi na kurudishwa kati ya saa 12 jion au saa moja na...
  4. TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  5. S

    TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  6. KERO Dar kuna mgao wa umeme? TANESCO tuwekeni wazi tujue

    Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar. Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao? Kama kuna mgao kwa nini TANESCO mpo kimya hamtoi taarifa, mnatuharibia kazi zetu semeni tujue basi
  7. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  8. A

    KERO Ofisi ya TANESCO - Tukuyu inatoza wateja pesa ya kubadilisha matumizi ya umeme

    Hii sasa imekuwa kero kubwa kwa wateja wa wanaopata huduma katika Ofisi ya TANESCO Tukuyu. Mwanzo huduma ya kubadili matumizi ya umeme kutoka matumizi makubwa kwenda madogo ilikuwa inatolewa ndani ya mwezi mmoja tu ukipeleka maombi. Ni zaidi ya mwaka sasa kumekuwa na umakusudi wa kuchelewesha...
  9. Serikali imefilisika na kukosa fedha za kununua magari ya kuhudumia Tanesco?

    Serikali ya Samia inakabiliwa na hali ya kushangaza, ambapo magari madogo ya watu binafsi yamechukuliwa kufanya kazi za Tanesco katika kila wilaya na kila mkoa wa Tanzania bara. Hali hii inatia wasiwasi na maswali mengi yanajitokeza. Kwanza, je, serikali imefilisika na kukosa fedha za kununua...
  10. DAWASA na TANESCO wakubaliana kuimarisha huduma Dar na Pwani

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri amezitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kudumisha ushirikiano baina yao ili kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi. Mhandisi Waziri amesema kuwa Taasisi hizi ni za...
  11. TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

    TAARIFA KWA UMMA UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa Treni za EMU - Electric Multiple Unit, (Mchongoko) na changamoto za umeme. Ukweli...
  12. Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  13. KERO TANESCO Kasulu, tumelala giza tumeshinda bila umeme na usiku umeingia bila umeme

    Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani. Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake Inakera sana TANESCO makao makuu tuna uhakiaka hamna taarifa na hizi hujuma tunazofanyiwa na uongozi wa...
  14. KERO Tabora Manispaa, hasa Ipuli umeme unakatwa kila siku bila mpangilio, TANESCO tuambueni kama kuna mgao tujue

    Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo. Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa...
  15. E

    Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  16. Napendekeza mfumo wa umeme ushughulikiwe na TANESCO pekee

    Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo ujaze fomu. Nimejaza fomu online napiga simu TANESCO huduma kwa wateja nijue hatua inayofuata...
  17. TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

    KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS ljumaa 01 Novemba, 2024 Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji...
  18. Baada ya DAWASA kukiwasha, sasa Tanesco nao wameanza kubip

    Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na...
  19. Dharau za wafanyakazi wa Tanesco dhidi ya wananchi, Waziri husika chukua hatua.

    Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
  20. TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU leo tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku

    TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne. Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…