Taarifa za ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma TANAPA zimetajwa sana sana kila kona.
Ubadhirifu huo mkubwa unaofikia Shilingi zaidi ya bilioni 19, umefanyika katika kipindi cha uongozi wa Kamishna wa Uhifadhi aliyemaliza muda wake.
Ubadhirifu huo unazua maswali pia kuhusu umakini wa Bodi ya...