tamisemi

  1. Kuajiriwa Tamisemi na Wizara kupi kuna maslahi na malupu lupu bora kwa mwajiriwa??

    Wataalaam Naomba majina
  2. Mbunge Edward Ole Lekaita akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI 2024/2025

    MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
  3. Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe...
  4. Martha Mariki akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
  5. TAMISEMI yatoa ufafananuzi juu ya Magari ya ma-DC na RC 56 yatakayonunuliwa

    Habari ya TAMISEMI inasema "Wakuu wa Wilaya wanajukumu kubwa la kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ikizingatiwa kuna fedha nyingi zimepelekwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya na Miundombinu. Pia Wakuu wa Wilaya...
  6. M

    Sauti ya Wanavunjo bajeti ya TAMISEMI bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt. Charles Stephen Kimei amekuwa miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa bajeti ya wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo ameeleza mambo kadhaa ikiwemo:- Dkt. Kimei ameishukuru serikali na kumpongeza kwa wingi wa miradi katika jimbo la vunjo na...
  7. TAMISEMI yaomba Bajeti ya Tsh. Trilioni 10.1

    Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa wizara hiyo. Fedha hizo ni ongezeko la Sh981 bilioni ikilinganishwa na fedha zilizoombwa...
  8. B

    TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  9. Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei? Msaada wanaujua hili suala.
  10. Hospitali za wilaya zitolewe TAMISEMI zipelekwe kusimamiwa na Wizara ya Afya

    Tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya Huduma za Afya kwa Hospitali za Rufaa za Mikoa baada tu ya kuhamishiwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya. Sasa ili kuleta tija ya huduma Bora za Afya kwenye Hospitali za Wilaya nashauri Hospitali za Wilaya pia Zisimamiwe na Wizara ya Afya. Hata baadhi ya...
  11. Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  12. KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  13. Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Moja kati ya misingi mitatu ya usalama wa mifumo ya TEHAMA (System security) ni Confidentiality. Hakikisha zile taarifa nyeti zipo mikononi mwa watu walioidhinishwa (Authorized users) na si vinginevyo. Kwenye mfumo wa tamisemi unaoruhusu wanafunzi kubadili tahasusi zao, hivi ndio vigezo...
  14. Prof. Mkumbo aweka wazi muingiliano wa kimajukumu kati ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Apanga kukaa vikao kutatua changamoto

    Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya elimu ya awali, msingi na sekondari. Kulingana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Kitila Mkumbo...
  15. Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
  16. D

    Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
  17. Je, umewahi kutoa pesa ya mchango kwaajili ya huduma ya chakula cha mchana shuleni kwa mwanao?

    Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako. Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa...
  18. TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu. Baada ya hapo maombi yangu...
  19. TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

    Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo? Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
  20. Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…