takataka

Alinesi Takataka (born 24 April 1988) is a Tuvaluan footballer who currently plays for FC Tofaga.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  2. Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

    Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography. Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English. Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher... Walimu Wao...
  3. Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
  4. Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

    Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
  5. G

    Halmashauri ya Ilemela yaelekeza wafanyabiashara soko la Sabasaba kutupa takataka barabarani

    Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
  6. J

    SoC03 Teknolojia katika uhifadhi wa mazingira

    Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki kikamilifu katika kuzuia uharibifu wa mazingira, kupunguza uchafuzi wa hewa,maji na udongo na...
  7. Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Deogratius Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi na umeme hatua ambayo licha ya kusaidia kudumisha usafi itaongeza ajira na kuwarahisishia wananchi maisha...
  8. Air Tanzania wanatuchukulia sisi abiria wao kama takataka zisizo na thamani

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku...
  9. Mfumo wetu wa elimu ni takataka, unatulazimisha tuwe watu wa kukariri zaidi kuliko kuelewa. Kukariri hakuwezi kuleta ubunifu

    Naomba nisieleweke vibaya nashare tu mtazamo wangu ili kuboresha na kuwa na taifa bora zaidi lenye uwezo wa kutatua matatizo yake kwa kutumia wataalamu wake. Mfumo wetu wa elimu huko hivi unamchukua samaki na ndege aina ya tai alafu unawapa mtihani mmoja. Yaani unampima samaki kwa kupaa juu na...
  10. KERO: Stand ya Nzega ni chafu imejaa takataka za vifungashio vya vyakula na plastic

    Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita. Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ...
  11. Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  12. S

    Bia ni Safari Lager na Castle Lager tu nyingine ni takataka

    Bia ni safari lager na castle lager nyingine ni takataka tu
  13. Takataka kwenye eneo lako zinaondolewa kwa wakati?

    Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika ratiba kutofuatwa na wahusika kutowapatia taarifa ya mabadiliko ya ratiba hizo kwa wakati Hali hiyo inafanya takataka ziendelee kukaa kwa muda mrefu bila kuondolewa na kufanya Mitaa kujaa uchafu ambao Wananchi wanakosa namna bora na salama ya kuuondoa...
  14. Tozo za Majumbani ni kero

    Habari wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja twende kwenye mada yetu. Aisee kumekua na hili suala la kutozana tozo mbalimbali ambazo baadhi zimekua sahihi na nyingine si sahihi. Kumekua na tozo ya takataka (sahihi) na pia tozo ya ulinzi shirikishi (si sahihi). Tozo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…