takataka

Alinesi Takataka (born 24 April 1988) is a Tuvaluan footballer who currently plays for FC Tofaga.

View More On Wikipedia.org
  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania KERO Makongolosi Chunya Mbeya mji unaoongoza kwa utupaji holela wa Takataka na mamlaka zipo zimetulia

    Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
  2. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho - Stendi ya Chini takataka zimerundikwa kwa muda mrefu, zimeoza na zitoa harufu kali

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya zaidi Wafanyabiashara wanamwaga hapo matunda mabovu, mboga zilizoharibika na aina nyingine za taka na...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuna pesa kama takataka, tangu tupate uhuru hakuna kipindi watu wanaogolea kwenye pesa kama sasa kipindi cha Samia

    Watu wana pesa jamani. Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana. Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji. Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia. Siko hapa kumsifia Rais...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Responded Meya Tabora asema ukimuona mtu anatupa takataka mkamate, utalipwa

    Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa. Chanzo: ITV Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
  6. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Wana JF naombeni mnisaidie hili jambo linalloitwa hela ya taka

    Leo asubuhi katika makazi yangu mapya Dar es Salaam walikuja wadada wawili kudai kilichoitwa hela ya taka na mazungumzo yetu yalikua kama ifuatavyo; Wadada: Kaka mambo Mimi: poa Mdada 1: Kaka hela ya taka Mimi: wenyewe hawapo Mdada 1: wewe si muhusika pia inabidi utoe hela ya taka Mimi: Dada...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo hasa maeneo ya Mivumoni na Marobo (Tegeta) pamoja na Kinzudi

    Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika. Adha, hii...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kipande kikubwa cha takataka kilichopo bahari ya pasific

    Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha Takataka cha Pasifiki, pia kinajulikana kama eneo la takataka la Pasifiki, hutenganisha maji kutoka...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni Mtambani taka hazichukuliwi kwa wakati, wakazi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani. Pia soma - DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua - Taka zimejazana sana eneo la...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafirishaji ovyo wa taka usiozingatia kanuni za kiafya unachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi

    Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani. Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali. Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi...
  14. Dungeon

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali. Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

    Naam, nasema wazi kabisa. Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi. Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka. Utateuaje watu halafu...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya

    Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena nyingine zikiwa katikati ya Barabara. Mazingira ya utunzani taka mtaani kwetu ni ya ovyo sana, hili...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakuu salama? Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine! Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
  20. Quraish Hussein

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
Back
Top Bottom