Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi bilioni 16+🙄
Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya bilioni 16+🤔