taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

    Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani. Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto wa shule Arusha: Mabasi ya shule yapewe vipaumbele barabarani

    Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi." Hawa watu ilikuwa muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa lolote duniani lenye Rais anayeogopa kujipambania lina hasara kubwa

    Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno. Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  8. JamiiForums Tanzania Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
  9. JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare II Jumba la Kumbukumbu ya Taifa

    MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa inayowaonyesha wanawake mashuhuri katika historia ya Tanzania. Nimesimama hapa kwa muda naziangalia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikalini watu wenye akili za kulisaidia Taifa hawadumu?

    Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili kubwa. Jambo la pili wenye akili kubwa siku zote wanataka kufika mbali na ili wafike mbali lazima...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 NCCR-Mageuzi Taifa yamteua Elisante Ngoma kuwa Mwenezi

    Aliekuwa Katibu wa Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana TCD Kitaifa, Elisante Ngoma ameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa Mkuu wa Idara ya Uenezi Na mahusiano ya Umma Taifa. TAARIFA KWA UMΜΑ Kamati kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi Taifa iliyokutana...
  12. JamiiForums Tanzania Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Australia kuitambua Palestina kama taifa huru

    1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS. 2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu CCM. 3. Viva HAMAS, viva Palestina; mlidhamiria na kwa hakika ushindi unanukia sasa kuliko wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

    Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
  15. JamiiForums Tanzania Taifa la Iran lakumbwa na matatizo ya mtandao ghafla

    Yaani hakuna kuachia..... https://twitter.com/netblocks/status/1777327937768854009?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1777327937768854009%7Ctwgr%5E3bd4f6bbc99af425102a8916371b6346b17df0a4%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fbreaking-news%2Farticle-795961
  16. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

    Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa. Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza. Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa. Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
  17. JamiiForums Tanzania Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…