Awali ya yote ni vyema kutambua juu ya umuhimu wa Shirika la Utangazaji la Taifa duniani kote, kwa kawaida tunapozungumzia sehemu nyeti za kitaifa kama vile makambi ya Jeshi, Jengo la Taifa (Ikulu), vituo vya kuzalisha Umeme, vituo vya kuzalisha Gesi ghafi au asilia, Miundombinu ya kitaifa kama...