taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
  3. JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  4. JamiiForums Tanzania Mapungufu yetu kama Taifa yalianzia hapa 1984 tulipobadili katiba ya Zanzibar

    MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita. Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  9. JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  10. JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  11. JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kundi lingine ambalo ni adui kwa taifa hili ni baadhi ya viongozi wa kiislamu

    Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Aliyepewa jukumu la kusimamia vazi la Taifa yupo wapi?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii? Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
  13. JamiiForums Tanzania Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Nipo sehemu wanasema kanda ya kati anakuwa VP na last born wa taifa anakuwa PM

    Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  16. JamiiForums Tanzania Hatuumii kiongozi kustaff bali ni zile stahiki atakazoendelea kupokea ili hali hajalitumikia Taifa kwa muda mrefu katiba ibadilishwe kwakweli

    Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo. Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
  17. JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  18. JamiiForums Tanzania Swala la kumfukuza nchimbi sio la CCM ni la Samia na genge lake na ni kwa maslahi ya genge hilo tu sio taifa elewa hivyo.

    Na kwakuwa CCM wengine ni fuata upepo ukweli upo mioyoni mwao, Hiyo ndiyo habari iliyopo mezani
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  20. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…