taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  2. Taifa ambalo Watu wake wanajivunia mambo ya kijinga kwa kisingizio cha kupata kipato ni taifa la wapumbavu

    TAIFA AMBALO WATU WAKE WANAJIVUNIA MAMBO YA KIJINGA KWA KISINGIZIO CHA KUPATA KIPATO NI TAIFA LA WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyerere Kwa maoni yake alisema taifa lina maadui watatu ambao ni Ujinga, umaskini na maradhi lakini adui ambaye alitaka Watu wapambane naye zaidi ni...
  3. I

    SoC04 Kilimo na mafinikio ya watu na Taifa

    Kilimo ni ukombozi, japokuwa kwa nchi yetu kinaonekana ni kazi ya walala hoi, isiyo na thamani na inayowahusu watu masikini. Kwa kupitia uzoefu mdogo nilioupata kwenye kilimo, ninadiriki kusema kuwa, kilimo ni fursa, kilimo ni ukombozi, kilimo ni mafanikio kwa watu na nchi. Ni jambo la kawaida...
  4. Urusi ni taifa lililolipia gharama kubwa kwenye Vita ya Pili ya Dunia 1939-1945

    TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
  5. E

    Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

    Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
  6. SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  7. A

    SoC04 Tanzania Bila Rushwa: Safari ya Kujenga Taifa Bora

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
  8. A

    SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  9. SoC04 Walimu ni tunu ya taifa, tuwathamini

    UTANGULIZI. Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna muda wanachukua jukumu la kutuwajibisha ili kuhakikisha tunakuwa watu bora zaidi katika jamii...
  10. PreGE2025 Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa

    Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini. Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na mali kwa viongozi waandamizi wa CCM, kuanzia ngazi ya tawi unanatufikia vyema sana. Asanti sana Mama...
  11. SoC04 Dira ya maendeleo ya taifa ndani ya miaka 20 ijayo

    Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo 1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo 2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
  12. R

    SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  13. S

    SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

    Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje...
  14. Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  15. SoC04 Mtaala bora wa elimu hujenga taifa imara

    MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA. DIBAJI. Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi zinazotolewa,hasa tukilinganisha na idadi ya wahitimu wa elimu ya juu na kati kwa kila mwaka.Hio imepelekea...
  16. C

    SoC04 Raia wenye afya bora ndio nguvu kazi wa taifa la kesho

    Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
  17. Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  18. Ronaldinho Gaucho atangaza kuacha kushabikia timu yake ya taifa ya Brazil

    🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”. “I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s hard now to find the spirit to watch the games”. “It’s one of the worst teams in the recent years, no...
  19. K

    SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  20. SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…