Taifa letu linaugua
Nchi tofauti tofauti zina matatizo mbalimbali ikiwemo njaa, vita nk. Sisi kama watanzania tuna ugonjwa wa chuki.
Sisi hjipambanua kama taifa lenye amani, huku viongozi wetu wakijisifia kila Kona kuwa wameweza kusimamia na “kulinda” amani kwa miaka mingi na kuwazodoa majirani...