taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  3. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM unavyoathiri kiwango cha Taifa Stats

    Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje. Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu. Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya taifa la Israel

    1. Utangulizi Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria ya Mashariki ya Kati, na hadithi yao inaanza na hadithi ya uumbaji na mkataba wa Mungu na baba zao...
  6. JamiiForums Tanzania Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  7. JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
  9. JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kwenye mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
  10. JamiiForums Tanzania Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

    Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana. Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapoteza muda tungekuwa mbali kama taifa

    Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tuna vijana waliomaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kajipikia chakula chake mwenyewe. Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi sStadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

    Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada. Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Bahati Nasibu ya Taifa yashirikiana na Shirika la Posta Tanzania

    Bahati Nasibu ya Taifa inayo furaha kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Posta Tanzania, wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa michezo ya kubahatisha kote nchini. Kupitia ushirikiano huu, majukwaa ya Bahati Nasibu ya Taifa yatapatikana katika ofisi 207 za Posta, hatua...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

    Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025 MY TAKE; Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako. Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa. Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Je Usawa wa Kijinsia katika Umiliki Ardhi za Urithi na Ulipaji wa Fidia kabla ya Utwaaji wa Ardhi vitapatiwa utatuzi wa kudumu? SERA YA TAIFA YA ARDHI

    Tarehe 17 Machi, 2025, Rais Samia alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023) Sera hiyo inalenga kutoa mwongozo wa jumla kuhusu utawala na usimamizi wa ardhi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa, mipango ya maendeleo ya Taifa na mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi na...
  19. JamiiForums Tanzania VOA na US AID nyenzo zilizofanya Marekani ionekane taifa kubwa, Trump azifuta baada ya kutoa matokeo hasi

    Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo. Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

    Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira. Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…