taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna hawa wamama hutupigia pande wahuni kwa mabinti zao waangaliwe kama tunu kwa taifa hili

    Tajiri hasalimii. Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja. Siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"...
  3. JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  4. JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  5. JamiiForums Tanzania Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

    WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa. Mhe. Waziri Kombo...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Anglikana Maimbo Mdolwa:TUsifike Mahala Tukahairisha Uchaguzi Mkuu, Kuhairisha Uchaguzi Kutaliingiza Taifa Kwenye Machafuko.

    https://www.instagram.com/p/DJgg6_7t1Ud/?igsh=YXB5bXd6MDNwajgz My take: hiyo ni kauli ya askofu mkuu wa anglikana Tanzania
  7. JamiiForums Tanzania Askari wanne wa TANAPA washikiliwa kwa tuhuma za kumuua mfugaji aliyengiza mifugo katika hifadhi

    Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
  8. JamiiForums Tanzania Nchi iliyojaa neema yageuka kuwa taifa la ombaomba...asante CCM!

    Misaada peke yake tunayopata ingetosha kuendesha nchi hii bado mikopo na tpzp!
  9. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Marekani lazidi kupanda

    If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt (2023): ~$31.4 trillion • Debt-to-GDP Ratio: ~123% (2023). 2. Japan • GDP (2023, nominal): ~$4.2...
  10. JamiiForums Tanzania Shamra shamra Miaka 11 ya Chama cha ACT Wazalendo ya kupigania Taifa la wote kwa maslahi ya wote

    https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM [Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam] Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  12. JamiiForums Tanzania China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

    Haya ni aliyoyasema Padre Ngowi: https://m.youtube.com/watch?v=ciDVwS2EKj0&pp=ygUtUGFkcmUgbmdvd2kgaGF0YSBuaWtpZmEgbGVvIHNpbmEgY2hhIGt1cG90ZXph "Kwamba umoja wetu ndiyo iliyo ngao yetu na tujue kuzisoma alama za nyakati."
  14. JamiiForums Tanzania TEC: Makao makuu ya baraza la maaskofu yamevamiwa na heshima ya taifa imejeruhiwa

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile. "Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama serikali na viongozi kweli wanatanguliza maslahi ya taifa basi wawasikilize wananchi wanataka nini

    Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini. Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi??? Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority...
  16. A

    JamiiForums Tanzania USA Wanataka Egypt Iwasaidie Kupigana na Al Houthi wa Yemen's

    Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia Red Sea Al Houthi wakagoma. Trump analia eti Egypt wamsaidie kipesa walipe gharama au wasaidie...
  17. JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Yachangia Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA ▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024 #MguuKwaMguu SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI WAONGEZEKA KWA ASILIMIA...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Wito kwa vijana wasomi msiache vilaza wa darasani wakawa ndio watengeneza agenda za taifa

    Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio. Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…